Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli ulilazimishwa kufanya mapenzi ya jinsia moja? Pole sana. Ni kweli vibaya kufanya mapenzi ya kulazimishwa.
Ila bila kutania naona unajaribu kupanga dunia kwa "wezi" na "wanaofanya biashara" Kwangu haieleweki jinsi unavyotumia istilahi hizo.
Je wale wanaotoa mikopo ni wezi??
a) pamoja na China? China ilitoa mikopo mingi kwa nchi mbalimbali za Afrika na penginepo. Unawaona nao ni wezi?
b) tofauti kati ya biashara na kopo kwa maana yako ni nini? Nilijifunza kazi ya benki ni biashara ya pesa. Riba ni faida ya biashara hiyo, sawa jinsi mfanyabiashara anauza bidhaa zozote kwa faida fulani.
c) vipi hali ya kulazimishwa? Unaamini kweli Magu alilazimishwa kununua ndege hizo zote na kuzikabidhi kwa kampuni ambayo ni maarufu kwa kuharibu biashara?
 
Huyu jamaa ana tabia za kike.
Dume zima kuweka viemoji kama mtoto wa kike ni aibu.
 

Mtoto akililia wembe mpe ndo hii sasa.
 
Ungenieleza kwa ufupi tu kulikoo kuandika maneno mengi ya kunikejeli tu bila kunifahamisha kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna jamaa wala hajakukejeli kakueleza jambo vyema
anaweza akakueleza (akatueleza maana namie nimo kwenye wanaotaka kumjua) ila itategemeana na upataji habari wako mwengine unatokea upande gani
kiufupi jamaa hajakukejeli
 
Kwenye akili yako hili jambo umesharuhusu liwe sehemu ya kumbukumbu zako za kudumu. Nimesoma sana majibu yako humu, ni jambo lililokukaa na limekua sehemu yako na unalitumia sana katika majibu yako.

Katika saikolojia tunafahamu kwamba kadri unavyotaja na kuliandika/kutamka jambo ndivyo linavyokuwa sehemu ya ubongo wako.

Sababu ni sehemu ya ubongo wako, utakuwa unaota pale unapolala na unapata wet dreams.
 
hamna jamaa wala hajakukejeli kakueleza jambo vyema
anaweza akakueleza (akatueleza maana namie nimo kwenye wanaotaka kumjua) ila itategemeana na upataji habari wako mwengine unatokea upande gani
kiufupi jamaa hajakukejeli
Eiwaaa we ndio umenelewa vyema, sikuwa na maana ya kumkejeli na sidhani kama nimeandika maneno ya kumkejeli. Na nilivoona kasema nimemkejeli sikutaka kuendelea kumweleza.

Siku zote tatizo huwa sio kile kilichozungumzwa bali tafsiri atakayoipata yule aliyefikishiwa mazungumzo yale kulingana na kile alichonacho akilini mwake juu ya jambo unalomwelezea.

Mfano huko nyuma sikuwahi kumzungumzia huyo Soros hadi hapo jana jamaa alivomtaja nikakazia tu kua kuna rumours huko nje yasemekana kua ni binam yake Zele...

Huyu akani'qoute kuniuliza huyo George Soros ni nani... Kuna jamaa akawah kumjib huko kua ni binam yake Zelensky... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani rumours keshazifanya fact na ajab zaidi akamjib nje ya mwelekeo wa muulizaji.

Kuna vitu unaeza kufupisha na kuna vitu ukifupisha huezi kueleweka moja wapo ni hili. That's why nikamwambia kua reply moja haitoshi kumwelezea Soros kwa kutokea mlimani. Ila bondeni anajulikana kama mzaliwa wa Hungary, Raia wa Marekani, Mwekezaji na Philanthropist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…