NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Definitely! Urussi tutaifanya ZimbabweAnother Zimbambwe in the making
Safi sana JapanTop news for the day:
- Japan imposed sanctions on 398 individuals and 28 organizations from Russia, and also approved the freezing of the assets of Sberbank and Alfa Bank from May 12, the Japanese Foreign Ministry said;
- Almost 1.1 thousand tons of humanitarian aid were delivered to the Donetsk and Luhansk People's Republics, as well as to Ukraine, the press service of the Russian Emergencies Ministry reported;
— The European Police Agency has announced the launch of Operation Oscar to identify assets subject to anti-Russian sanctions, the organization said.
Galip SV View attachment 2184800
Na hapo ndipo mtihani ulipo,uchumi wenyewe wa Russia ni wa kawaida sana,kuhimili hii vita kwa muda mrefu huku akiwa na vikwazo vya kutosha ni ngumu sana.Nimeangalia CNN na Aljazeera tayari keshadefault na madeni yake.Ukraine hatumii hela zake, Urusi anatumia zake
Kunywa maji mengi,nguvu uliyotumia ni kubwa mno,mwili unahitaji kuwa hydrated sasaWw unaye teseka na mitazamo ya mwenzako ndo unywe maji ya baridi ili utulie.
Na hapo ndiyo huwa unafail Mkuu,hapa tunaongelea Russia,fungua uzi wa US tutakuja kuchangia pia.Unaposhindwa kujielekeza kwenye mada iliyopo mezani huwa unakimbilia kwenye kubalance kupitia US.Russia hali tete na yes kule Afghanistan alikimbia mwenyewe.Nasubiri uzi wako wa US,nitakuja kuchangia [emoji846]Wengi hatufahamu kama Russia iliwahi kutoka kimya kimya huko Afghanistan
Ila tunajua kwa uhakika kuwa mwaka mmoja tu uliopita
Marekani ilitoka kwa kasi kubwa kutoka huko Afghanistan baada ya karibu miaka 20 ya kuikalia nchi hiyo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Na ndio maana anajitutumua angalau lengo lifikie... Hashangai Ukraine haikati tamaaNa hapo ndipo mtihani ulipo,uchumi wenyewe wa Russia ni wa kawaida sana,kuhimili hii vita kwa muda mrefu huku akiwa na vikwazo vya kutosha ni ngumu sana.Nimeangalia CNN na Aljazeera tayari keshadefault na madeni yake.
Hapo hapo anawatishia Sweden na Finland,wakati uwezo wa kupigana kote kwa wakati mmoja hana
Nani kakudanganya mkopo huo , no Free lunch.Ukraine hatumii hela zake, Urusi anatumia zake
Sema bimkubwa unapambana sana. mara hii tena ushakuwa nesiHaya kunywa maji kwa wingi na upumzike