Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Eee we kweli Super power [emoji23][emoji23][emoji23]...Hey hey wale nato pori ndugu yenu anataka dunia nzima ipigane na urusi. Aaah ama kweli urusi Ni taaifa lenye miguvu pamoja na kusaidiwa vifaa vya kivita vikwazo. Bado anataka kusaidiwa na maskini. Aaah urusi salute hapa wanasema ulisema ulisaidia sisi kupata uhuru ninaanza kuamini ulisaidia kweli inawezeka tusinge upata
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Aaah! Noma Sana aisee urusi Ni habari nyingine vikwazo anavyo pewa jamaa ingepewa nchi nyingine ingekuwa imesha surrender kitamboEee we kweli Super power [emoji23][emoji23][emoji23]...
Sawa na mtu umchokoze jamaa flan hivi likimya sana hapo shuleni, kisha liamue kukutandika, wakati huo huo atangaze atakayeingilia atamuunganisha kumpa kichapo kitakatifu...
Wale rafikizo wote waliokua wanakupa jeuri, Yule unayegombana nae umwite "mchumba" tu hakuwezi...Ajab unaenda kuita wanafunzi wa shule nzima wakusaidie kupigana na huyo jamaa [emoji849][emoji849][emoji849]...
Then wanafunzi wote shuleni wagome kupigana nae moja kwa moja kwa kuhofia kuhatarisha usalama wa shule nzima... Instead wanajificha gizan na kumshambulia jamaa kutokea gizan... Kwa kuogopa kuonekana wazi ila bado mnapelea.
[emoji848][emoji848][emoji848] Kisha wajiuliza huyo jamaa kama kweli ni dhaifu why shule nzima waogope kupigana nae [emoji847][emoji847][emoji847]
Mara wanaanza usile chakula chetu, wakihis kufanya hivo jamaa atakuwa na njaa hivo hatashindwa pigana. Wanasahau kama kuni wanazopikia huwa anazileta yeye matokeo yake wanaaza kulia njaa wao wenyewe.
World z for funny, but de funniest thing ever ni kuona namna EU wakifanya suicide kwenye uchumi wao kukidhi matakwa ya US kupitia mwamvuli wa Ukraine...
Wewe unaamini Russia anaweza kupigana Multiple Wars kwa sasa na vikwazo hivyo alivyowekewa? Maana msingi wa hoja yangu umeanzia hapo.Kama anafikia hatua ya ku default madeni huo uwezo wa kupigana huku na kule anautoa wapi? Hizo hadithi za 'sheli' sijui ulimaanisha vituo vya mafuta au Shell kama Kampuni ya mafuta huko Kenya sidhani kama ni muhimu hapa.Kama WA Kenya au siyoo, uchumi WA kawaida unawo uangaisha dunia nzima , uchumi uliaosababisha apo kenya mafuta yamepanda Hadi sheli yakakosekana mnabeba tanki za pikipiki kwenye kichwa ili kukwepa foleni
Ni swala la muda tu, hata Cold War iliishia kuvunjika kwa USSR.Aaah! Noma Sana aisee urusi Ni habari nyingine vikwazo anavyo pewa jamaa ingepewa nchi nyingine ingekuwa imesha surrender kitambo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli, ila sidhani italeta tofauti hapa. Maana KAMA hawakuandika "vita" katika masharti (ambayo nimeona si kawaida katika mkataba kuhusu malipo) , basi angalau mwia atadai hajapata haki yake na hapa mwenye deni (=Urusi) atatazamiwa amefilisika hadi anashinda kotini (au anashindwa..)Shukrani.
Hivyo kwa sababu si mimi, wewe wala Coco reborn tunaojua terms za mikataba ya kukopeshana baina ya urusi na wadai wake ni ngumu kusema kwa uhakika kwamba wamedefault au ni force majeure sio!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pale tunaposema Media za western zinadanganya "We mean it"... Na wala sio maneno yetu pekee bali kwa reference kutoka kwa wao wahusika. View attachment 2184975 Hii hapo juu ni Stats zilizotolewa hapo hapo US kuhusu media... Kwamba chanzo kipi cha habari kinaaminiwa zaidi.
Tunaeza ku'ignore "Blue and Red" kwasabab n mtazamo wa kichama... Kati ya Democrats na Republican lakin what about hiyo pink? Trust kwenye media zote iko below 50... Hio ni data zimechukuliwa kwa wamarekan halisi.
Imagine Media zote hapa Tz walau yenye trust kiasi iwe "Tanzania safari"??? Really???
Illa still bado wale wanaoendelea n dozi zao za ARV hawatoelewa.
Kheri yetu sie bado tunakua tunayonafasi ya 'kukomaa kidogo kuchwani' tusipojua leo tutajua kesho muda bado upo. kuna nyie sasa mliokwishakukua na vichwani mmedumaa. Hizi platform ni za kizazi chetu, kizazi kipya. Nyie mnalazimisha tu si unaona hata kutype kunakupa shida kuacha nafasi, kuweka alama huwezi. Jua lishakuzamia bibi muda wa kulea vitukuu huuKunywa maji utapasuka mishipa ya kichwa kwa stress bwana mdogo,mnavamia hizi platform mkiwa bado immature ona sasa unavyoteseka.Muwe mnasubiri walau mkomae kidogo kichwani
Hivi we jamaa unafikiri urusi itaanguka kirahisi rahisi hivi ndio maana jamaa wanata hata afrika imuwekee vikwazo kwakuwa wameanza kumgwayaNi swala la muda tu, hata Cold War iliishia kuvunjika kwa USSR.
Ebwanaee China nae yumo??
China is delivering arms to Moscow ally Serbia
China is delivering arms to Moscow ally Serbia. A fleet of six Y-20 cargo planes of the Chinese PLA Air Force was spotted in Serbia, as per reports. China reportedly delivered the FK-3, the export version of its HQ-22 surface-to-air missile system to Serbia.
This would make Serbia the first operator of Chinese missiles in Europe. The West is concerned that the arming of Serbia by Russia and China could push the Balkan country towards another war
Kuna nini tena blaza. ....kuanza ku followana kwa lugha ya malkia tena .....[emoji52][emoji52][emoji52]
Tunako kwenda siko.This is becoming far too dangerous and WWIII mongering.Russia imepeleka zana nzito za kijeshi ikiwemo mifumo ya kunyesheleza makombora mpakani na Finland baada ya kuionya Finland kutojiunga na NATO
View attachment 2184922View attachment 2184924
Vita ya tatu ya dunia tayari.Iran nao wamepeleka mfumo wa bavar 373 huko russiaView attachment 2184942
NK alivyoivamia SK, UN kwa influence ya USA waliingia chap na kuwarudisha kina Kim. Leo Ukraine kavamiwa mchana kweupe na sio UN, NATO, EU, USA walio tayari kupeleka jeshi likasaidie. Wanaangalia tu kutoka mbali mtu wao akidundwa huku wakilaani. Yaani mtu anapigwa ngumi wewe unatoa msaada wa maneno wa nini sasa[emoji1787].Eee we kweli Super power [emoji23][emoji23][emoji23]...
Sawa na mtu umchokoze jamaa flan hivi likimya sana hapo shuleni, kisha liamue kukutandika, wakati huo huo atangaze atakayeingilia atamuunganisha kumpa kichapo kitakatifu...
Wale rafikizo wote waliokua wanakupa jeuri wakutose, Yule unayegombana nae umwite "mchumba" tu hakuwezi...Ajab unaenda kuita wanafunzi wa shule nzima wakusaidie kupigana na huyo jamaa [emoji849][emoji849][emoji849]...
Then wanafunzi wote shuleni wagome kupigana nae moja kwa moja kwa kuhofia kuhatarisha usalama wa shule nzima... Instead wanajificha gizan na kumshambulia jamaa kutokea gizan... Kwa kuogopa kuonekana wazi ila bado mnapelea.
[emoji848][emoji848][emoji848] Kisha wajiuliza huyo jamaa kama kweli ni dhaifu why shule nzima waogope kupigana nae [emoji847][emoji847][emoji847]
Mara wanaanza usile chakula chetu, wakihis kufanya hivo jamaa atakuwa na njaa hivo hatashindwa pigana. Wanasahau kama kuni wanazopikia huwa anazileta yeye matokeo yake wanaaza kulia njaa wao wenyewe.
World z for funny, but de funniest thing ever ni kuona namna EU wakifanya suicide kwenye uchumi wao kukidhi matakwa ya US kupitia mwamvuli wa Ukraine...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109][emoji106][emoji106][emoji106]....hii nyundo ulio mpatia ni jibu muruwa kabisa ...huyo dada ndani ya fuvu lake hamna kitu ....Kheri yetu sie bado tunakua tunayonafasi ya 'kukomaa kidogo kuchwani' tusipojua leo tutajua kesho muda bado upo. kuna nyie sasa mliokwishakukua na vichwani mmedumaa. Hizi platform ni za kizazi chetu, kizazi kipya. Nyie mnalazimisha tu si unaona hata kutype kunakupa shida kuacha nafasi, kuweka alama huwezi. Jua lishakuzamia bibi muda wa kulea vitukuu huu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Muhindi, mchina hawato kaa kumsaliti mrusi
3 Chinese Air Force (PLAAF) Xian Y-20 after delivering military equipment to Serbia
Chinese Air Force`s second visit to Belgrade Airport in two days, extremely rare to see these planes anywhere outside China!
After delivering military equipment to Batajnica Air Base, 3 of 6 planes that landed there transfered to Belgrade Airport for
refueling before heading back to Urumqi, China.