Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Sioni mwisho bado. Maana vita anaweza kuendesha kwa mud bila dolar. Rubel anaweza kuchapisha anavyotaka (itaharibu uchumi zaidi, lakini anaweza kuendelea bado kwa kufanya wananchi maskini zaidi); kwa rubel analipa jeshi, analipa wafanyakazi kwenye viwanda, viwanda vya kutengenezea silaha anavyo.Huu ndiyo mwisho wa Putin,huwezi survive kwa vile vikwazo na mbaya zaidi ana rafiki mnafiki kupindukia yule mvimba macho Xi jinping,hana msaada kwake
[emoji23][emoji23][emoji23]....kijitoto .Naona kuna kijitoto cha ProNato kinajarib kuni'qoute... Asee sijadiliani na akili ndogo... Just hold your a** OFF...
Naaam Get lost.Naona kuna kijitoto cha ProNato kinajarib kuni'qoute... Asee sijadiliani na akili ndogo... Just hold your a** OFF...
Hivi we jamaa unafikiri urusi itaanguka kirahisi rahisi hivi ndio maana jamaa wanata hata afrika imuwekee vikwazo kwakuwa wameanza kumgwaya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli pro NATO akili hamna Rusia haijashindwa lipa madeni Ila mazingira yamewekwa ionekane ivyoo na RUSSIA anaweza pigana na alliance wote WA NATO Kwa pamoja ndyo manaa unaonaa NATO wanapitia mlango wanyuma kwenye hii vitaWewe unaamini Russia anaweza kupigana Multiple Wars kwa sasa na vikwazo hivyo alivyowekewa? Maana msingi wa hoja yangu umeanzia hapo.Kama anafikia hatua ya ku default madeni huo uwezo wa kupigana huku na kule anautoa wapi? Hizo hadithi za 'sheli' sijui ulimaanisha vituo vya mafuta au Shell kama Kampuni ya mafuta huko Kenya sidhani kama ni muhimu hapa.
Kumbe shabaha ya vikwazo tena sio kumzorotesha urusi washindwe kupigana vita!?Kweli, ila sidhani italeta tofauti hapa. Maana KAMA hawakuandika "vita" katika masharti (ambayo nimeona si kawaida katika mkataba kuhusu malipo) , basi angalau mwia atadai hajapata haki yake na hapa mwenye deni (=Urusi) atatazamiwa amefilisika hadi anashinda kotini (au anashindwa..)
Naona uwezekano mkubwa sana matokeo yatakuwa yaleyale angalau kwa miaka hadi azimio la mahakama.
Katika hali hii mwenye deni hatapata tena pesa sokoni kwa masharti ya kawaida, akipata kwa bei = riba ya juu zaidi.
Ambacho ni shabaha ya vikwazo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......[emoji116][emoji116][emoji116]Kunywa maji utapasuka mishipa ya kichwa kwa stress bwana mdogo,mnavamia hizi platform mkiwa bado immature ona sasa unavyoteseka.Muwe mnasubiri walau mkomae kidogo kichwani
Hapana wamo, tena wamo wengi mno... Isipokuwa wapo unofficial... Hawataki kutangaza wazi wanajua kitakachotokea.NK alivyoivamia SK, UN kwa influence ya USA waliingia chap na kuwarudisha kina Kim. Leo Ukraine kavamiwa mchana kweupe na sio UN, NATO, EU, USA walio tayari kupeleka jeshi likasaidie. Wanaangalia tu kutoka mbali mtu wao akidundwa huku wakilaani. Yaani mtu anapigwa ngumi wewe unatoa msaada wa maneno wa nini sasa[emoji1787].
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
600bn$ Russian frozen assets will be used to build Ukraine. During ww2 1000 bombs were dropped in London killing 30000 civilians but London was rebuilt.Vita mbaya sana UKRAINE imebaki magofu, sasa watapata wapi pesa ya kujenga majengo mapya kila mkoa?
Sioni mwisho bado. Maana vita anaweza kuendesha kwa mud bila dolar. Rubel anaweza kuchapisha anavyotaka (itaharibu uchumi zaidi, lakini anaweza kuendelea bado kwa kufanya wananchi maskini zaidi); kwa rubel analipa jeshi, analipa wafanyakazi kwenye viwandi, viwanda vya kutengenezea silaha anavyo.
Hanunui silaha nje.
Isipokuwa vipuli vya compyuta anazohitaji kwa silaha za kisasa, ataona matatizo mara akiba zinakwisha. Hapa anahitaji soko la dunia maana hajitegemei.
Atazipata kwa bei maradufu au zaidi kwa njia ya magendo, na hapo anataka kutunza dolar / Euro alizo nazo Urusi (hii sababu kutolipa madeni maana angeweza)
Hivyo naogopa kwa miezi kadhaa bado atakuwa na uwezo wa kuendelea na kuleta vifo na uharibifu.
Isipokuwa akiona hali inaanza kuwa mbaya kweli, atatangaza ushindi bila shaka.
Ilhali hadi sasa asilimia kubwa ya wananchi bado wanaamini propaganda yake, atatumaini watamwamini pia ushindi...
Ndio wakome.Pentagon yalalamika kuwa Russia inajam mfumo wa GPS wa Marekani unaotumiwa na Ukraine. Pia Pentagon yahofia kuwa Russia inaweza kushambulia Setilaiti za GPS MarekaniView attachment 2184641
Basi hujaelewa msingi. EU hawafanyi kitu kukidhi matakwa wa US. (ingependeza sana kama tungemjua mbaya mmoja duniani anayeeleza maovu yote! Ila hii ni ndoto ya mtoto) Hujafuata jinsi gani Wajerumani walikataa miaka yote kuongeza jeshi na kukata mabomba ya gesi ya Urusi? Obama alisukuma, Trump aliwatisha. walibaki palepale wakiamini biashara ya amani italeta uhusiano wa kuaminiana na Urusi.World z for funny, but de funniest thing ever ni kuona namna EU wakifanya suicide kwenye uchumi wao kukidhi matakwa ya US kupitia mwamvuli wa Ukraine...
sasa kama π·πΊπ·πΊ haimuogopi NATO mbona hataki πΊπ¦πΊπ¦ ajiunge na NATO ?Kweli pro NATO akili hamna Rusia haijashindwa lipa madeni Ila mazingira yamewekwa ionekane ivyoo na RUSSIA anaweza pigana na alliance wote WA NATO Kwa pamoja ndyo manaa unaonaa NATO wanapitia mlango wanyuma kwenye hii vita
Tafadhali ujisomee kidogo. Waliingiza mitambo mingi, waliuza mitambo michache nje (mfano injini za roketi kubwa - hadi juzi ambako kampuni ya Musk alileta kitu kipya ambacho hawawezi..)Mzee baba pale Urusi ni sawa na Dunia.kila kitu kinatengenezwa pale wala hakuna kitu ambacho lazima wanunue nnje