Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli pro NATO akili hamna Rusia haijashindwa lipa madeni Ila mazingira yamewekwa ionekane ivyoo na RUSSIA anaweza pigana na alliance wote WA NATO Kwa pamoja ndyo manaa unaonaa NATO wanapitia mlango wanyuma kwenye hii vita

ivyoo=hivyo
manaa= maana
unaonaa=unaona
wanyuma= wa nyuma
 
Halifu lijamaa ni lijitu likubwa kinoma
 
hivi unafahamu hapa duniani shetani ana wafuasi wengi kuliko hata Mungu aliyeiumba Dunia yenyewe?. 😂😂😂😂😂. Mtu kuwa na wafuasi wengi haimaanishi yuko sahihi .
🙏🙏🙏🙏
 
Hatutarajii civil war itokee urussi ila tunatarajia regime change kama iliotokea 1991 kwa mikhail Gorbachev.

Urussi sio mali ya Putin, urussi ni nchi yenye democrasia(kwenye karatasi) kwahio anguko lake halitakua tofauti na wenzake waliopendwa kumliko.

Alafu kuhusu kuungwa mkono, rejelea kura za UN uone kati ya Urussi na USA na mwenye wafuasi
 
Urusi anatishia kuendekea kuvamia majirani kijeshi badala ya kutumia nguvu ya ushawishi wa diplomasia na ushirikiano kiuchumu.

Kwa maoni yangu Kadri atakavyovamia ndio kiu za nchi jirani kutaka kujilinda na yeye zitakavyokuwa juu.
 
Ndio wakome.
Wanalalamika Nini Sasa ,hii ni vita bana,Kila mtu ana haki ya kutumia silaha yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bn.. eti wakome [emoji119][emoji119]

Nimekumbuka kitu, kuna vishkwambi hapa JF walikuwa wanasema Russia ni mdhaifu hana technologies yoyote ya kutisha. Tena mbele ya US ndo kabiiiisa hafui dafu.

Ajab sasa
1. Chaguzi zote za US huwa wanasema Russia anaziingilia hasa hasa ya karibuni ilikuwa ile iliomwingiza Trump madarakani.

2. Russia huyo huyo vijana wake ndio wanaotegemewa pale ISS. Kiasi cha kutangaza kujitoa kunawapa homa wenzao ndani ya umoja huo kutoka zile nchi ambazo zilizopewa tag ya "Unfriendly Country"

3. Haya hiyo hapo mpya tunaambiwa pentagon wanalalama kua mifumo yao ya GPS inapigwa jam na Russia.

4. Hapo hapo wanahofu kua mitambo yao ya satellite inaeza dunguliwa na Russia.

5. Lakin tusisahau kua US ana budget zaidi ya mara 10 ya ile anayotumia Russia. Kiasi kwamba bado wanahis haitoshi sa hivi wameiongeza zaidi. Haraka haraka apa ukikutana n "Mbunge" anayelipwa mshahara mara 12 ya "Mwalim" ila "Mwalim" anafanya vitu vizito kuliko mbunge haiitaji degree kujua who is smarter kuliko mwenzie...

Sasa kama US ni Superior in Tech, Uchumi na kila nukta kama wanavodai mbona anazuzuliwa na huyu anayeitwa "wa kawaida" tu... Kwanini asiwe Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂 Putin bwana , yaan jamaa ukitangaza tu kujiunga na NATO yeye si kupagawa 😂😂😂.
Cha ajabu amepakana na USA lakini asubutu kuleta ujinga. Yeye ataishia kuvamia Georgia na Ukraine.
 
Ukiamini vile - basi ujifariji tu.
Vikwazo vinahusu vitu ambavyo Urusi hana / haina ubora:
semiconductors, telecommunications equipment, software (including that for encryption), lasers, aviation and space systems, and oil-refining machinery.
Yaani hata machine zote za kusafisha mafuta na gesi hadi sasa walinunua kutoka magharibi kwa sababu hawana, au hawana nzuri
Labda itawasaidia kuboresha tekinolojia yao wakiteswa na vikwazo - ili hiyo haitokei leo na kesho.
Unaonaje kama watafiti Warusi wanasema hivi:
In 2017, the Russian Federation set another record: it ranked among the top three in terms of the
world's largest military spending, along with the United States and China. But if the GDP of the
United States and China are at the top of the world table of ranks, then our country, according to
nominal GDP, takes an unaccountable place in the second ten countries. Let us emphasize that with Russia's low GDP that is less than that of India, Mexico and a number of other not very developed countries, our country is forced to spend trillions of rubles on defense and security and, at the same time, it can not meet the needs of citizens either in products food, neither in clothes, nor in shoes, nor in medicines of own manufacture.
Working on obsolete equipment using old technologies, our factories are not able to produce modern competitive goods independently. Domestic electronics industry does not yet produce highquality computers, mobile phones, video and audio equipment, which could compete with Japanese or even with South Korean. To be convinced of the truth of these statements of the authors, it is enough to look at the country of the manufacturer of the technology that surrounds Russians at home and at work.

Wanalinganisha Urusi na Korea Kusini:
On the level of economic development, modern Russia lags far behind the developed countries of the world. Everything is known in comparison, and if you compare Russia's GDP with the GDP of South Korea, a small country with a population three times smaller and a territory that twice fit in Kamchatka, it turns out that a huge Russia with its myriad treasures (it owns almost a third of all natural resources world) is inferior to the dwarf country by the number of goods and services produced. In Russia, about 2% of the world's population, and on its territory are about 33% of all resources. In 2016, our country, claiming the status of a world power, produced goods and services for 200 billion dollars less than the Republic of Korea
ShieldSquare Captcha Why Russia Cannot Become the Country of Prosperity
 
Vyote ulivyotaja vinapatikana urusi na vinatumiwa na warusi izo habari kuwa hakuna upezipata wapi?
 
Mpaka putini aanguke sio leo jamaa watamuangushe Sasa Kama vikwazo vina waathiri na wao haya ndio mchina nae anaungana nae. Kuangusha umoja Ni rahisi sio nchi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Weka basi hata time frame!
Cold war ilianza mwisho wa ww2 na ikaisha 1991 lakini lengo lilitimia. Huu mchakato umeanza rasmi na hautaisha mpaka tupate regime and ideological change urussi.
 
Nakuona mzee unavojitahidi kujaza maji kwenye tenga la nyanya... Hapo hata ukiamua uende na kisima hutojaza kamwe.




Ni mfano tu lakini [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] naomba nisipigwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…