NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
YouGovUmesema tusiamini Western media kwahio hii statistics pia ni Fake.
Na siku zote ukitumia mabavu utafail tu,Ulimwengu wa sasa ni wa kutumia akili zaidi.Sasa atapigana na wangapi kwa wakati mmoja wakati tu hapo Ukraine bado ndiyo kwanza kumekuchaUrusi anatishia kuendekea kuvamia majirani kijeshi badala ya kutumia nguvu ya ushawishi wa diplomasia na ushirikiano kiuchumu.
Kwa maoni yangu Kadri atakavyovamia ndio kiu za nchi jirani kutaka kujilinda na yeye zitakavyokuwa juu.

Russia is the only country on earth that makes the US think twice on what they (want to) do.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bn.. eti wakome [emoji119][emoji119]
Nimekumbuka kitu, kuna vishkwambi hapa JF walikuwa wanasema Russia ni mdhaifu hana technologies yoyote ya kutisha. Tena mbele ya US ndo kabiiiisa hafui dafu.
Ajab sasa
1. Chaguzi zote za US huwa wanasema Russia anaziingilia hasa hasa ya karibuni ilikuwa ile iliomwingiza Trump madarakani.
2. Russia huyo huyo vijana wake ndio wanaotegemewa pale ISS. Kiasi cha kutangaza kujitoa kunawapa homa wenzao ndani ya umoja huo kutoka zile nchi ambazo zilizopewa tag ya "Unfriendly Country"
3. Haya hiyo hapo mpya tunaambiwa pentagon wanalalama kua mifumo yao ya GPS inapigwa jam na Russia.
4. Hapo hapo wanahofu kua mitambo yao ya satellite inaeza dunguliwa na Russia.
5. Lakin tusisahau kua US ana budget zaidi ya mara 10 ya ile anayotumia Russia. Kiasi kwamba bado wanahis haitoshi sa hivi wameiongeza zaidi. Haraka haraka apa ukikutana n "Mbunge" anayelipwa mshahara mara 12 ya "Mwalim" ila "Mwalim" anafanya vitu vizito kuliko mbunge haiitaji degree kujua who is smarter kuliko mwenzie...
Sasa kama US ni Superior in Tech, Uchumi na kila nukta kama wanavodai mbona anazuzuliwa na huyu anayeitwa "wa kawaida" tu... Kwanini asiwe Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikibofya hapo kwa hio link inanitoa kabisa kwenye huu uzi inanipeleka nje nianze moja !!!??Kama unatumia App haiwezi zifungua... Video naona mpaka utumie browser...
Ukiona comment ina Video kama watumia app. Iguse kisha click juu pale kulia kwenye hizo dot 3 utaona option ya kufungua kwenye browser.
Ukienda uko waitizama kisha warejea kwenye app kuendelea kuperuzi.
Unataka niwe kama wale waliosema Operation ya masaa 72 tu na leo tunakwenda mwezi wa pili.Hapana siwezi kuweka time frame lakini uhakika nilionao ni muda ni Mwalimu mzuri sana.Weka basi hata time frame!
swala sio kupatikana , swala ni je , vimetoka wapi ?Vyote ulivyotaja vinapatikana urusi na vinatumiwa na warusi izo habari kuwa hakuna upezipata wapi?
Mngekuwa mnaweka na time frame kabisa,Huo muda kidogo ni muda gani?Pole kama uhalisia inakuchanganya. Vikwazo ni nyenzo ambayo haileti matokeo mara moja. Hata kama EU wakisimamisha gesi ya Urusi (na malipo) mara moja, haitasimamisha uchumi na uwezo wa kuendleza vita kwa muda mara moja.
Ukiacha mashabiki kando, kila mmoja mwenye macho na masikio alijua hayo. Heri usifikiri dunia inatokea hapa jamiiforums. Jielimishe, utaona.
Ila baada ya muda kidogo, matokeo yataonyesha.
Do i care an opinion from a total strangerNami narudia, kama una uhakika na unachokisema, basi wewe si mtu wa kawaida.
Unafikiri ugumu upo wapiIssue si kutengeza issue ni poor technology na poor quality. Jiulize kwa nini wananunua ndege za Boeing kwa wingi kuliko ndege za nyumbani. Jiulize China na ubabe wake wananunua ndege kwa wingi kutota Airbus na Boeing
Nakubaliana na wewe mkongwe!Yes mimi si wa kawaida.
😂😂😂 wenzako humu wanalalamika kuwa 🇷🇺🇷🇺 anapigana huko vitani na mataifa zaidi ya 30 akiwemo 🇺🇸🇺🇸. Harafu wewe unasema kama wanauwezo waingie vitani 😂😂😂Tatizo Tunaamini habari zinazoandikwa na google bila kujua hawa wanaomiliki mitandano ni washirika wa Marekani na NATO, kipigo amabacho kinaendelea huko ni kikali sana ndio maana Marekani wala nchi yeyote ya Nato haijaenda kule directly , wanasingizia kuwa UKREIN sio mwanachama wa nato bado, SIWAMPE UANACHAMA KWA DHARULA halafu wamsaidie wanajua MZIKI WAKE