Naona umegonga penyewe hadi kashindwa kuvumilia,anatamani hata angekuwa ndiyo Maxence mwenyewe ili akufurushe.Huyu huwa anapenda kusema wengine tunaongozwa na 'emotions' naona yeye hapa ndiyo kaonyesha mfano halisi wa kile anapenda kuwaambia wengineUnanionea wivu mie kuwa Jamii forums?! Hii forum ingekuwa ya Babu yako tungepata tabu sana. Lakini si tulielewana kwamba BBC ni chombo cha kipropaganda.
Mpka tumemjua Nani murder wa raia anajionesha mwenyeweNasikia raisi wenu mpendwa kaanza kuwakamata raia wa nchi yake wenye asili ya Urusi ili kuishinikiza Urusi iwaachie wanajeshi wake walio tekwa huko maliopol.
Wakati huko nyuma mlituamisha ya kwamba Ukrain ime wateka wana jeshi wengi wa Urusi sasa kama ina wanajeshi ilio wateka kwanini wasiende kufanya mabadilishano wapewe wanajeshi wao?
Aliwahi kusurrender Crimea huyu ...karudia tena...
Llieutenant Colonel Of The Armed Forces Of Ukraine Rostislav Lomtev Surrendered
View attachment 2186159
Ubabe mwingiiiWazee wa Maizigo jitokezeni tucheze risasi ..msijifichefiche nyuma ya video za maigizo
Mpaka Luteni kanali anajisalimisha kweli wameminywa. Lutenu kanali ni miongoni mwa high ranking officer jeshini.
Llieutenant Colonel Of The Armed Forces Of Ukraine Rostislav Lomtev Surrendered
View attachment 2186159
Chochote kitakachowapa faraja waukraine wa uyole wanakileta hapa. Waelewe tu hvyohvyoKwanini huyu mwamba kutokuwepo eneo la vita ni habari?
Toka lini kiongozi ambaye ni level ya raisi, anakuwepo uwanja wa vita ( tena ambayo haipo nyumbani kwake ni nchi nyingine).
Nilichokiona mimi ni....
Ana mvuto binafsi, ni celebrity hachoshi kumfuatilia.
Hujatuleta kichekesho kikuu kutoka tukio hili. Lukashenka anayesimama kando la Putin alieleza "mauaji ya Bucha yalitekelezwa na kikosi maalum cha Uingereza".
Naamini kabisa WEWE huchoki kumfuatilia unavutwa naye.Kwanini huyu mwamba kutokuwepo eneo la vita ni habari?
Toka lini kiongozi ambaye ni level ya raisi, anakuwepo uwanja wa vita ( tena ambayo haipo nyumbani kwake ni nchi nyingine).
Nilichokiona mimi ni....
Ana mvuto binafsi, ni celebrity hachoshi kumfuatilia.
ππππSipendi sana kugombana na a total stranger.Kwa kukutendea haki naomba ukae kwa Ignore list.