Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Hapa Ndio PenyeweRussia will consider US and NATO vehicles carrying weapons on Ukrainian territory as legitimate military targets, Russian Deputy Foreign Minister Ryabkov said.
Galip SV View attachment 2186223
Siyo kosa ila inatoa picha ya uwezo wa uelewa wake. Kama Mimi ngumbari siwezi kulinganishwana yeye.Mkuu Kwani kuwa mwalimu wa primary ni kosa?
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo tusi likowapi ?. Kumbe mm kukwambia asante Dada ni tusi ?.
Wewe kuniita Mimi MATA....!!!. Hujaona kuwa ni tusi . ila Mimi kukushukuru inaonekana nimekutukana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Basi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mkuu . nafuta maneno yangu .
Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....Naamini kabuisa WEWE huchoki kumfuatilia unavutwa naye.
Habari si habari kwa sababu alibaki nyumbani.
HAbari ni habari kwa sababu huyu "celebrity" anadai kwamba alifika Ukraine mara kadhaa akijisifu hana hofu atamaliza Ukraine chapchap...
Na sasa kuna ushuhuda yeye ni mlaghai tu, anajivuna lakini hafanyi kitu
"talks the talk, lakini don't walk the walk!"
Umoja wa akina mama EU wanajiandaa kwenda kumuomba msamaha PutinView attachment 2186069View attachment 2186070View attachment 2186071
Wewe jamaa bana nikikukumbuka inabidi nicheke tu. Swali lako sitakujibu.
Putin hana akili!?Putin hana akili ,gharama ya vita atafilisi Urusi. Civilized nations wanagawana gharama ya vita nchi zote za EU, Uingereza na Marekani. Civilized nations zinaweza kucheza ngoma ya Ukaraini muda mrefu bila kuyumba.
Cheap propagandaHuyu Lavrov kwangu ni My Favourite Diplomat, akiongea humchoki na kila nukta ni fact juu ya fact... View attachment 2186250 Lavrov [emoji298]“...A threat to US security was detected in Iraq (10,000 km away from the US). They bombed it but didn’t locate the threat and didn’t even apologise...
...They are cultivating neo-Nazis and ultra-radicals on our borders. The Pentagon is setting up dozens of laboratories conducting experiments to develop biological weapons....
The documents found there leave no doubt about this. But we are not allowed to respond to a threat on our borders, as opposed to across the ocean. That’s the message....”
Fake news spotted.Zaidi ya wanajeshi 1000 wa jeshi la Ukraine waliokuwa wakipambana huko Mariupol wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia yaliyowaweka 'mtu kati' kwa zaidi ya siku 40.
Hiyo ndiyo faida ya ile mbinu yakivita ya Russia ya kuuzingira miji na kuipelekea moto mkali wa makombora na mizingi...jeshi hilo liliishiwa silaha, chakula na majeruhi wakawa hawana njia ya kupata dawa (hakuna panya wala kitu chochote kilikuwa kinaingia au kutoka isipokuwa kwa idhini ya majeshi ya Russia)
View attachment 2186200View attachment 2186201
Huwa najiuliza kipi wanatumia WaUS mpaka wataiwan wawe na kiburi hivyo kwa china. Hata mtu asiyejua kiasi gani lkn anajua kbs kwa china Taiwan hawana hata asilimia 0% ya kushinda.View attachment 2186222 Mnamskia mchina uko [emoji849][emoji849][emoji849]
Mtu mkubwa yule hawezi shika mtutu kupigana. Ni kiongozi wa Chechen na kapandishwa cheo na Putin hivi sasa ni Lieutenant General, ni Third Rank kutoka Mkuu wa Majeshi kwa Insginia za Russia.Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....
Anafuatiliwa zaidi katika vita hii as an individual.
Nachosema mie hakuna ubaya hata asipoenda na akiongea sana, yeye ni political leader. Sio general wa jeshi.
Hahaha hata mimi nimependa hiyo FACT. Yaani US ndio anajiona yeye ana haki ya kujilinda tu hapa dunianiHuyu Lavrov kwangu ni My Favourite Diplomat, akiongea humchoki na kila nukta ni fact juu ya fact... View attachment 2186250 Lavrov [emoji298]“...A threat to US security was detected in Iraq (10,000 km away from the US). They bombed it but didn’t locate the threat and didn’t even apologise...
...They are cultivating neo-Nazis and ultra-radicals on our borders. The Pentagon is setting up dozens of laboratories conducting experiments to develop biological weapons....
The documents found there leave no doubt about this. But we are not allowed to respond to a threat on our borders, as opposed to across the ocean. That’s the message....”
Britain will ban the import of iron and steel from Russia from April 14, the head of the British Foreign Office announced.
Galip SV View attachment 2186212