Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya kumekucha . proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ule msafara wetu umeishia wapi !!!!!????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watajikausha leo nzima
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama wanaaga maiti 😁😁😁 .
ProπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wote wa humu ni vichaa kama mzee wao PutinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu comedian mjinga sana. Yeye alimkamata bwana Mbowe wao akijua Putin atakubali wabadilishane nae. Wa nini sasa??[emoji2][emoji2]View attachment 2186672
😁😁😁kichaa Putin imemuuma sana rais mtaalam zelensky kumkamata huyu kibaraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Za chinichini ni kuwa bwana huyu ndo alikuwa asimikwe kuwa rais kibaraka waπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί nchini πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦.
Jamaa wamekata mrija πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Haya kumekucha . proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ule msafara wetu umeishia wapi !!!!!????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umetawanyika tayari kwa majukumuπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
 
Huyu ndio mtu sasa
 
Russia wasafiri zaidi karibu kilometa elfu 4 Kwenda kuwachukua wanadiplomasia wao ,kutoka Moscow Kwenda Madrid Spain, sababu ya vikwazo vya angaπŸ€”
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama wanaaga maiti [emoji16][emoji16][emoji16] .
Pro[emoji635][emoji635][emoji635] wote wa humu ni vichaa kama mzee wao Putin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukraine akipewa long range missile, Urusi hana chake ndo maana kaanza tishia atalipua Kyiv... Sijui aliyemzuia kuilipua ni nani. Kama anajiona mwenye uwezo alipue tu....

Ila sisi tukilata long range lazima aombe pooo maana yale mabati yake ya S400&500 lazima yawe chakavu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama wanaaga maiti 😁😁😁 .
ProπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wote wa humu ni vichaa kama mzee wao PutinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kauli yako kwamba pro Putin wote humu JF ni vichaa inaweza kukutokea puani kwa kupigwa sanction au ban..watch out...
 
Kwa hiyo wewe unataka kyiv ilipuliwe. Unafikiri Urusi wanahitaji kuilipua kyiv ili waoneshe umwamba wao!?

Kuna maisha baada ya vita. Urusi hahitaji adui wa kudumu jirani naye. Lengo ni vita iishe watu waendelee na maisha kama kawaida. Huwezi kufikia lengo hilo kwa kuilioua kyiv

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Comments zako ni kichefuchefu,Karibu kuandika bila kuweka hizo emoji!
 
Kwa hii vita imefungua wengi urusi ipo uchi kwa sasa, kinachofanyika ni kuspot silaha zake zipo wapi moja baada ya moja zile za maangamizi, vituo cha kijeshi vya anga bahari na nchi kavu time shall tell.
 
Hii ndio akili wanawapa silaha Russia anazipiga kabla hazijaingia....Piga zote sambaratisha.... na bahati mbaya hawawapi bure huyu comedian mjinga hajui anaimaliza nchi yake....
 
Mh, hawakusema pia vita inachukua mda mrefu kwa sababu Russia imeshidwa kucontrol anga lote la Ukraine hadi sasa kwa sababu mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine unaodondosha drone na ndege za urusi?
 
We jamaa unapenda story za vijiweni sana.
 
Hivi vita US anaumia kuliko hata Ukraine kwani mpaka sasa Europe na US mwenyewe bado wananunua mafuta na gas kutoka Russia.

Sasa hivi anahangaika India wachague upande wamuwekee vikwazo India, India kaweka msimamo yy hatochagua upande bali angependa vita iishe kwa njia ya mazungumzo na mafuta bado ananunua Russia.

Ruble haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…