Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii vita ni opportunity kwa uSA kuididimiza Russia na Europe . Kufaidika na uuzaji wa siraha pia lazima biga shark watingishwe mfano China na India. China anakoelekea alikuwa anamkuta kiuchumi after years nq Russia alikuwa anampita kivita. Watafanyq mpango Russia awe depleted na force alarm ya Taiwan na Finland is prepared
 
US ana hali mbaya sababu dollars yake inatetemeshwa, kwani US na Europe bado wananunua mafuta na gas Russia kwa Ruble, hiko US hakitaki kwani anajua Russia akifanikwa na Ruble, nchi nyingine zitauza maliasili zao kwa hela yao so dollar itakuwa na hali mbaya.
 
Wengi hawaijui historia ya Russia walikua wanajua ni ka nchi kapo ulaya tu kapokapo. Wengi wanaijulia kupitia huu uzi tuendelee kuwapa elim tusichoke. Yule mpiga nyeto simwoni sikuhizi kakimbia uzi
[emoji23][emoji23] T 14 armata mpiga PULII .......ila ni kweli kabisa watu wengi walikuwa hawaijui russia kiundani wengi wamekuja kuijulia hapa ....ila kwa sababu ya upro nato wanakaza shingo zao
 
Your browser is not able to display this video.


😂 🧐 Does a Saudi TV show take up the slack left by SNL failing to do their job?


A Saudi TV show panned US President Joe Biden and his VP, Kamala Harris, in an SNL-style comedic sketch, with the clip immediately going viral on social media.


In the skit aired on the show "Studio 22" Saudi comedians appear to be grilling Biden for every single public appearance mishap that he has ever made: sleepiness, gaffes, awkwardness, and need for aides' assistance.
 
Petrodolar kubackfire hakutarajia. India and China reaction ni surprise. Europe citizens reactions ni tatizo. Arab kumdindia ni worse. Mbaya anaulizwa juu ya Vietcong Libya Iraq etc.
While Congo and Yemen are burning. Isis na conspiracy theories.
 
Your browser is not able to display this video.


‘Are You Poor?’: Moscow Blasts Poland for Giving Russian Diplomatic Property to 'Ukrainian Friends'


Russian FM spokesperson Maria Zakharova has ridiculed the Polish authorities’ decision to pass Moscow’s diplomatic property to Ukraine.


“It is a blatant violation of international law,” Zakharova said, adding, “Are you so poor you start robbing other people?”
 
Sweden na Finland kuanza mchakato wakujiunga na NATO. Tayari wameona kwamba njia ya kuzuia uvamizi wa Urussi ni kujiunga na NATO na wakati mwafaka ndo huu.

Wakati ni sasa kwa sababu Urussi hawezi fungua war front nyingine kwa sababu ameelekeza nguvu zote Ukraine. Imembidi mpaka aajiri wanajeshi wapya 60k chini ya mwezi na kuwaita waliostaafu.


Sasa swali langu ni je, ikiwa urussi ni jirani mzuri mbona ameshindwa kuwashawishi kupitia diplomasia Nchi kama Ukraine, Finland, Poland,Sweden N.K kuwa upande wake. Jibu ni kwamba hawajui diplomasia.

Ingekua wanajua diplomasia wasingefukuzwa G7, G20, human rights council, mashindano ya Michezo N.K alafu anatokea pimbi anakwambia Sergei lavrov anajua diplomasia.

Wito wangu kwa NATO ni waifanye kua rahisi na haraka kwa mataifa kuingia katika hicho chama. Huo mchakato uwe mfupi kabisa ndo Putin atakosaa wakuvamia.



The meeting in Stockholm comes less than two months after Russia's invasion of Ukraine, which has altered the regional security picture in Scandinavia.



Finland's Prime Minister Sanna Marin and Swedish Prime Minister Magdalena Andersson are meeting in Stockholm on Wednesday to discuss regional security matters in the aftermath of Russia's invasion of Ukraine .



On Wednesday, Finland will begin a debate that could see it putting forth an application to join the NATO military alliance that it already cooperates with.



Moscow has already expressed its disapproval. In fellow non-NATO member state Sweden, Russia's war against its neighbor Ukraine has also provoked anxiety, as well as a political about face on the country's question of military non-alignment.



Russia has repeatedly said NATO expansion is a thorn in its side, while NATO maintains the alliance is defensive in nature.
 
Huu mjadala tuliufunga EU wananunua mafuta kwa dollar na Euros. Usiturudishe nyuma kama hukuweko usidandie mijadala mbele.
 
Acha wajizime data.... MKUKI HAUPIGWI konzi
 
Wao UN na Marekani wao na vibaraka wao EU waendelee tu kupiga kura huko wamuache Urusi aendelee kupiga makombora shida nini .... Kura zimeisha kwani !!! Wajikite na kupiga kura na kuweka vikwazo ..... Hakuna mapatano tena Hapo wakitaka kupatana mnamtia ujinga ze comedi ... Endeleeni kutuma silaha ..Urusi anawagongesha na chakula anawapa ... Vipi kwani VIKWAZO vimeisha mpaka UN Leo ndio waone umuhimu wa kupeleka timu ya mapatanisho!!?? Sema kiMEUMANAAAAAAA
 

Who is Aarav Gautam, watoto wa Putin hawawezi tofautisha kati ya post ya mtu binafsi na media station.
Hawa ndo watu tunaojadiliana nao hapo, alafu emoji kibao kama taahira
 
AKILIzako umezishusha chini kwenye kisigino
 
Nikurudishe nyuma wapi, kataa kubali US wananunua mafuta na gas kwa ruble.

Wewe inaonekana ni mgeni kwa haya maswala, haya thibitisha madai yako. Yani USA iiende kinyume na Sera yake ya petrodollars, wewe ni kichaa sio bure.
 
Muwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
 
Wewe inaonekana ni mgeni kwa haya maswala, haya thibitisha madai yako. Yani USA iiende kinyume na Sera yake ya petrodollars, wewe ni kichaa sio bure.
Nithibitishe nini wakati Putin kishasema no ruble no oil anda gas.

Na ushahidi huu hapo wa hiko kikao waziri wa mambo ya nje akiwapa ukweli Europe, sasa unataka nini, kama unabisha bisha ila ukweli US na Europe bado wananunua mafuta na gas Russia kwa ruble.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…