Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama wanaaga maiti 😁😁😁 .
ProπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wote wa humu ni vichaa kama mzee wao PutinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa watu HATUNA chakula, HATUNA silaha, tumeishiwa risasi, HATUNA madawa ... Tufanyeje !!? mtupige tu Wayukraine ..tupigeni .... Lakini shinda mnatupiga mnalia ninyi mna matatizo Gani ndugu .....
 
[emoji23][emoji23] T 14 armata mpiga PULII .......ila ni kweli kabisa watu wengi walikuwa hawaijui russia kiundani wengi wamekuja kuijulia hapa ....ila kwa sababu ya upro nato wanakaza shingo zao
Hizo shingo zao zitavunjwa phase 2
 
Teh teh teh Pro Russia bana,yaani Marekani ikitoa taarifa inayowafurahisha mnaiweka hapa ila akitoa inayowakera mnadai ni propaganda.
 
Muwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
Wala usijichoshe ... Wananunua Kwa KWACHA..... Ruble inapanda thamani sababu wamepandisha kwenye rocket na kuitupa kituo Cha anga. Lazima ipae ... Maana economic principals hamtaki kuzielewa ,monetary policies hamtaki kuzielewa .....tuongee tu sasa kikahawakahawa.... Oyaaa lete jagi la chai ya tangawizi na kashata sinia.
 
Kwa hii vita imefungua wengi urusi ipo uchi kwa sasa, kinachofanyika ni kuspot silaha zake zipo wapi moja baada ya moja zile za maangamizi, vituo cha kijeshi vya anga bahari na nchi kavu time shall tell.
Oooh!! Tunashukuru kwa taarifa nyeti sana hii. Ndio uzuri wa JF yaani wadau wote wamo humu. Sikujua kama Tupo na operate wa Pentagon humu
 
Pro Russia mnajua Gharama ya Hii meli?, Russia wamepata Hasara sana

View attachment 2186853
Ila hii nchi ina wajinga wengi sana nawe unaweza kuwa Mmoja wao, ila ndio demokrasia.... Hiviii unaweza kulinganisha thamani ya hiyo meli na uharibifu uliofanyika Ukraine!!?? Ukiweza kufanya hilo ndugu ..wahi chumba Chako pale gereji ya akili Milembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…