Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mi nimesikia, taarifa kutoka Moscow, kwamba meli haijaripuliwa na makombora, isipokuwa imepata itilafu ambayo imesababisha meli kulipuka, na haijazama, ipo tu inaelea.
Ila ukienda upande mwingine wa vyanzo Vya habari (BBC, CNN, sky News etc) kwao wanasema imelipuliwa kisawa sawa, na ndiyo habari ya "mujini" Kwao leo.
 

Tunakoenda ukraine itakua yatima.
 

Mzee si akate valve hio tuwape week tu kama hawajaja piga goti
 
Mzee si akate valve hio tuwape week tu kama hawajaja piga goti

Kama ingewezekana angefanya hivyo kitambo. Skiza, 40% ya revenue ya urussi inatoka kwa mafuta na gesi ambayo wateja wa kubwa ni EU kwa 56%.

Kwahio ajifanya hivyo zaidi ya 20% ya revenue yake itapungua na madhara yatakua makubwa.
 
Nimekaaa nikafikiri sana uimara wa US, EU na NATO, pia nikajiuliza idadi ya silaha zinazopelekwa ukrane na wanaojitolea ni wengi mno! sasa kwanini wnapelekewa moto na kwanini kila siku manchi zaidi ya 30 je yamemshindwa mtu mmoja hata kwa kueneza propaganda hata kwa nchi yake ndani kwa ndani,
kwanini dunia inayumba kiuchumi?
Kwanini bwana ze comedy yeye ni kuomba msaada kote kote hadi Africa? aliyopata haimtoshi? Bwana wee nilichogundua
i. kuna nchi zipo nyuma ya urusi , ila zipo nyuma ya pazia
ii. kuna matajiri wapo nyuma ya urusi wameshoshwa na maonezi ya kimagharibi.
iii. Eu,US,NATO hawajali kuhusu UKRANE kama nchi na raia wake wanjali matakwa yao wapo radhi, nchi ifutike na wameitoa chambo kwa gharama yoyote.
iii. kuna nchi zipo EU na NATO, zinzosupport US na NATO kinafki ili wasionekane wao wamejitenga
iv. Africa hatujui tunataka nn?
v.bwana zalenksky aache ufala, awe mpole kama ua ili asije kulaumiwa na vizazi vijavyo ama asije ifanya ukrane koloni la mtu
vi. Vita vya nukes is around the corner wewe nyuma ya keybords ujue hii kitu lazima iku
 
Nyie mnaeza unganisha hizi dot na kuotea kinachoendelea...

Ya kwanza hii...
ASEAN surpasses EU to become China's largest trading partner.

China's imports and exports with ASEAN jumped 8.4% yoy to 1.35tn yuan in Q1 accounting for 14.4% of the country's foreign trade volume.

Ya pili hii...
Keep an eye on India Germany [emoji1128] [emoji629]

Germany starting to see India as biggest threat with India replacing Germany as the world pharmacy and growing chemical industry.

Remember Germany Merkel last year said "We allowed India to be biggest pharmacy in the world" with regret.

Now Germany pushing Modi to be excluded from G7
[emoji102][emoji102]

Yah tatu hii...
China and Russia trade in Q1 rose 28% to $38.2bn equivalent.

Western experts remain clueless and continue making ludicrous claims about their relationship.

Nipeni mtazamo wenu na cha kukukumbushia hapo katika hizoo nukta tatu... Hiyo ya pili mnaona namna Hizi developed countries kutoka western zinavodeal na competitors wao? Hawana fair competition either in power au economically, Kila mshindani kwao ni adui.
 

Hao NATO ndio sababu mpaka Leo Ukraine bado imesimama na kuendelea kupigana. Ukraine ilitabiriwa iianguke kwa siku mbili.
Mtazamo wako ni ule wa glass half empty ilhali mtazamo wetu ni ule wa glass half full.

Ndio nchi imeharibiwa lakini hilo sio lengo la urussi, lengo ni kulivunja jeshi la Ukraine lisiwe na uwezo wakurusha hata jiwe ambapo hawaja faulu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3].

...kwaa kweli nimejifunza kitu kwa haya majamaa pro nato ......wana MAFUVU yaliyojaa mawe tena yale mawe ya mtoni magumu .......humu ndani kwa hii thread .....ndo nimejua akili za baadhi ya pro nato zilivo ...hovyo kabisa ....
 
pro nato wote maarufu humu ndani nimewaweka kwenye ignore list na mmoja kati yao ni swahiba wangu wa karibu ndani ya JF.
Wana umaarufu wa ki jinga sana .....asa unakuta mtu na akili zake timamu pale ambapo pana hoja nzito yeye ana leta majibu mepesi mepesiiii........asa kama leo meli imepata hitilafu huko kwa sababu ya launching missiles .........kenge zina komaa eti imezamishwa na wayukraine ........puuzi sana hawa...
 
Pro NATO-US kwa kuokoteza habari tu hamjambo!!!
 
Kama ingewezekana angefanya hivyo kitambo. Skiza, 40% ya revenue ya urussi inatoka kwa mafuta na gesi ambayo wateja wa kubwa ni EU kwa 56%.

Kwahio ajifanya hivyo zaidi ya 20% ya revenue yake itapungua na madhara yatakua makubwa.
We jamaaa bhana mwamba PUT alikuchukulia wife wako nini ......unaichkulia russia ni sawa na kenya etii
 
The main thing from the statement of the Ministry of Defense of the Russian Federation on the work of American biological laboratories in Ukraine:

- from 2019 to 2021, American scientists from a laboratory in Merefa (Kharkiv region) tested potentially dangerous biological drugs on patients in the psychiatric hospital No. 3 in Kharkov;

– in January 2022, the work of the laboratory in Merefa was stopped, the equipment and drugs were taken to the west of Ukraine, while there is no information about the experiments in the database of the hospital. All staff of the medical institution signed a non-disclosure agreement;

- Ukrainian specialists, under the supervision of American scientists, took water samples in large rivers of Ukraine in order to establish the presence of especially dangerous pathogens of cholera, typhoid fever and hepatitis;

- the department believes that the results of research within the framework of this project could be used to create an unfavorable biological situation not only in Russia, but also in the Black and Azov Seas, in Belarus, Moldova and Poland;

- in January, Ukraine purchased more than 50 drones with 30-liter containers and equipment for spraying recipes through intermediary organizations. On March 9, in the Kherson region, scouts found three such devices;

- According to the Ministry of Defense, these drones can be used to spray biological formulations and toxic chemicals.
Galip SV
 
Journalist Anna Shafran @annashafran

The European Commission has drafted a decree stating that paying for energy resources in rubles would violate EU restrictive measures and enable Moscow to regulate the exchange rate in its own interests. Like, if Russia receives rubles, then the sanctions task is not solved by the Europeans. The decision is as brazen as expected. After all, the main task of Europe and the United States is to receive resources from Russia, but at the same time block payments in dollars and euros and prevent Moscow from taking the currency for the supplied energy resources. That is, to receive gas and oil for free, and to pump up Ukraine with weapons with the money saved.

There is a complete loss of shores: according to the Europeans, Russia should serve their interests, supply resources for the smooth operation of European industry, meet current needs - and do this, we emphasize once again, for free. At the same time, receiving in response more and more new sanctions and restrictions.

This state of affairs is quite possible. But only in conditions when the country is in full occupation, paying tribute to the occupying state. This, as we understand it, is not and cannot be. So on what grounds did the European Union decide that it is the master of Russia?

Obviously, there are no legal or any other objective grounds for such a formulation of the question. There is only one conclusion from this: our European neighbors are in a state of mental illness that requires deep and urgent treatment.

And there can be only one treatment here - to firmly stand on their designated positions, to act strictly in the national interests of Russia. And if it doesn’t help, we can think about suspending energy supplies to the West, because the unhealthy aggression that the EU is demonstrating has long in itself pushed us to more and more decisive steps to sober up Western “partners”. They obviously won't recover on their own.
Galip SV
 
Usemalo ni kweli kabisa lakini ......Sometime wakileta upuuzi tunagonga vichwa na nyundo ili akili zao zikae sawa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…