President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaangalie hata uvamizi wa Iraq ulivyofanyika
[emoji630]The Chinese army will take all necessary measures to resolutely stop external interference and attempts to organize "Taiwan independence" - Ministry of Defense of the People's Republic of China.
China intends to hold military exercises near the coast of Taiwan in response to "US provocations."
Unajua maana ya "WW2 era"? Meli imejengwa 1943 iliwekwa hapo kwenye naval museum na imeingia maji kwa sababu ya leakage au kutu. Sio mali ya jeshi hiyo na haipo kwenye matumizi. Na pia haijazama kama Moskva ya Urusi, kesho na kesho kutwa utaambiwa imeondolewa maji na iko fit kwa ajili ya watalii.Mbona hii ilizama?View attachment 2187982
Uache kuvuta bangi mbichi
Walikuwa hawaamini kabisa kabisa, mimi mwenyewe nilikwepa kusema Pasaka inafika Urusi hawajaambulia kitu sasa ona leo hii hata hiyo Kyiv washaachana nayo kwanza. Niliachana nao baada ya kuona ni team lialia hawana hoja.
Sasa flagship yao ya Black sea imezama. Mwanzo walisema imewaka moto kwa mlipuko mdogo wa ammo. Tangu lini warship ikawaka moto wakafanya evacuation ya crew badala ya crew kuzima moto?
Baadae wakasema iko towed kuelekea base, Ukraine ikasema meli imeelemea upande.
Baadae wanasema eti imezama kwa dhoruba. Meli mahsusi ya kivita yenye tani 11,000 inazama kwa dhoruba?
Hii vita inaendelea kunifanya nielewe context ya wanachofanya Marekani kwenye arms design na wanakuwa sahihi. Marekani wanatumia loader kwenye MBT zao ili ammunition waifiche kwenye ballistic doors kuepuka mlipuko wake kifaru kikipigwa. Russia wana autoloader ambayo inalazimisha ammo iwe kwenye ring, ndio vifaru vyote ukiona vimepigwa unakuta turret imeruka mita kadhaa pembeni.
Sasa hii Moskva ilijaza anti ship missiles juu kwenye deck jambo ambalo ukiiotea hata na mlipuko mdogo pale kwenye missile inajilipua yenyewe. Wakati Marekani cruise missiles carrier Ticonderoga class ambazo wanataka retirement huwa zimeficha makombora ndani mashambulizi madogo juu hayaleti hatari.
Russia hawafanyi maintenance vifaru vyao T-72 vingi unakuta vina ERA blocks ila ziko empty sasa sijui wahusika wanaiba hela. Imagine flagship ya Black sea fleet haina effective fire control radars za kuzuia makombora mawili tu ambayo hata sio advanced plus hiyo Bayraktar ambayo Ukraine wanadai walitumia kuwazubaisha. Ilitakiwa iwe na uwezo wa kutrack walau 6 targets simultaneously, sasa kama ni hivi meli za Urusi zikijisogeza wanazipiga salvo na hazisalimiki. Kila siku disappointment
Au sio[emoji23]. Nimecheka kama commedy hii. Mnachonifurahisha hamkosi misamiati yenu binafsi, uvamizi wenu mnaita "special military operation to de-nazify Ukraine" na mengine mnatunga maelezo mazuri tu.
Nimesoma somewhere last time cruiser inapigwa na adui ni miaka 40 iliyopita pale ARA General Belgrano ya Argentina ilivyopigwa na British forces
Puli na Vita wapi na wapi ndugu tujadili Meli kuzama 😆😆😆Puli umeacha??
Mkuu terminologies za kitaalamu sizitumii kwa kupenda ila nalazimika kufupisha muda wa kuandika maana Kiswahili hakina terms nyingi.Hii meli ni advance kuliko meli zingine za Urusi? Nijibu kilayman tu, hakuna haja ya materminology ya kitaalam boss.
Kwa akili Yako ndogo unadhani Russia anayo meli Moja tu?Msiwe wajuaji wa kila kitu!Kuna watu kabisa hata kwa mijadala Yao wanaonekana ni watu wa vijiweni wanakuja kutukana watu hata wawajui humu...
Walianza kusema Kiev inatekwa Ndani ya masaa 48 now wanatumia makombora ya masfa marefu tu, na hata Donesk Hadi leo hawajamake any serious progress na Cha ajabu Ukraine wanafanya counter offensive na wanakomboa maeneo, by June, July Europe watakuwa wamepunguza Utegemezi wa Russia kwenye Nishati, nchi kama India hata hawafikii 5% ya Nishati kutoka Russia.
They can reduce it sooner,
kifaru kimoja tu ni Mabilioni ya Fedha, Bado kurusha Ndege, na Sasa one of very expensive assets imeharibika, Russia uwezo wao baharini imeharibika vibaya mno, technically they have to move very far from the shores, Askari wao wa nchi kavu hatawapata Support ya kutosha
The Ministry of Defense of the Russian Federation has published new documents on the crimes of Ukrainian nationalists during the Great Patriotic War. These materials tell how the Bandera people even then cooked up fakes about the alleged cruelty of the Soviet military, although they themselves were the Nazis' tool for the brutal murders of the Poles.
In addition, documents are presented that Bandera, despite instructions from the Nazis, were unable to resist the Red Army in battle and deserted.
View attachment 2188018View attachment 2188019View attachment 2188020View attachment 2188022