Asa unashangaa shangaa nini .....ni kawaida kwenye batle ground .....Yaelekea Russia imepoteza ndege nyingine ya kivita aina ya Su-34,Kwa habari zaidi stay tuned.....
[emoji3544][emoji572]️BREAKING: Russia says Black Sea flagship Moskva has sunk, after Ukraine claims to have hit the guided missile cruiser in a rocket attack.View attachment 2187862
So?Unadhani Russia hatapeleka meli nyingine?Inazo nyingi but Meli za aina hiyo kwenye black sea ilikuwa moja tu, nyingine ziko Pacific
Meli mbili zimezama bhana... Now in theory Russia is no longer have powerful Navy in Black SeaKama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Bucha madhara ya kupanga. Mpangaji mkuu ni hao ma gay wa magharibi na Ukraine wenyewe ili waichafue Russia.Kuna madhara makubwa kuzidi yaliyofanyija Bucha?
Naitunza comment Yako hii!Siku mzigo mwingine ukitua black sea nitarudi kwako!Biala shaka Urusi ina manowari zaidi. Ila
1) Manowari Moskva ilikuwa manowari kubwa na kiongozi katika Bahari Nyeusi
2. ) Warusi hawawezi kuongeza manowari katika bahari hiyo maana njia ya pekee inapita Uturuki (Bosporus, mjini Istanbul) na kufuatana na Mkataba kuhusu Milango ya Bahari manowari haziwezi kupita wakati wa vita.
🤣🤣🤣🤣 Atabeleka... In theory the closest route ni kutoka BalticSo?Unadhani Russia hatapeleka meli nyingine?
Diversification of currencies Ni muhimu Sana lazima uwe na major currencies zote in case of uncertainty.Hii Ni worldwide.Unadhani kwa mfano China anaweza kua na YUAN tu?Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Dhaifu Ukraine anayesaidiwa Silaha na wanajeshi!Unamfananisha Japan aliekuwa mbabe wa Dunia zidi ya dhaifu Ukraine?
Kenge zilikuwa zimekufa sasa zimefufuka kutoka kusikojulikana ..... War ship imezama damage kama hizo ni kawaida kwa batle groundPro Russia Kuna zawadi yenuView attachment 2187881
HaiwezekaniDiversification of currencies Ni muhimu Sana lazima uwe na major currencies zote in case of uncertainty.Hii Ni worldwide.Unadhani kwa mfano China anaweza kua na YUAN tu?
Mkuu hizi Nchi za Ulaya hata German wanaburuzwa tu na US wenyewe hawataki kabisa habari za vita ila Mapimbi kama Poland, Ukraine na baadhi ya Nchi za Balkans zinapelekwa kama Makondoo ya sufi hawa misimamoKama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
mkuu tulisema hapa kwa ruble hayana uhalisia sn km baadhi ya watu wanavyofikiria, hii hype yote haipo sasa ht kremlin hawaiongelei tenaKama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Wana msiba mzito sana leo,ngalawa chalii huko [emoji23][emoji23]Leo mtanena kwa lugha zote , ila habari ya mjini ni NGALAWA YA[emoji635][emoji635] IMEGEUZWA KUWA NYAMBIZI .
Hili jina Coco linatia mashaka....Tumia lugha nzuri wewe
Baba lao missile Neptune anasubiri kwa hamu meli nyengine.🙂So?Unadhani Russia hatapeleka meli nyingine?
Mfano,Kulikuwa na haja gani ya kupeleka ule msafara wa magari about 40 km kuelekea Kiev?Unavyotoa point unaelezea uzembe kama upi?? Sio kuweka point haina nyama
Hata kavideo basi mkuuKiev Inalipuka Huko Moto Umewaka