Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin ni barbarian, hajawahi kujali maisha ya binadamu. Alepo na Grozny ni ushahidi tosha.
Ukraine inapiga military targets , dhaifu mrusi anapiga makazi ya raia. Putin ni war criminal bila shaka ,huyu lazima atawaishwa ,The Hague sooner or later.
 
Bado Kuna watu wanaamini Russia anaweza kuwavamia Finland na Sweden kama watajiunga na NATO...Yaani Bora Finland huyo Sweden ni Moto
 
haha yani ww na akili yako unaamin kuwa urusi anafny demilitarization na si invasion na kuseize territory? yaan ht russia ynyw imeshasema inataka kuchukua udhibiti kamili wa donbass na tayari ameshachukua ht hatua ya kutambua uhuru wao ila ww bado unaamin hii ni demilitarization tu!!
 
Inashangaza jinsi ulivyofaulu mitihani yako!!! Kwanza elewa swali ndipo ujibu. Marekani hakuisifu meli kuwa haizami. Bali ina radar yenye kuona sindano. Sindano ni kitu kidogo sana ukilinganisha na meli ya mafuta. Radar kushindwa kuona jimeli ilikuwa mbovu? Au ni kasoro za kibinadamu?
Hivi ingekuwa ni kombora si ingekuwa imeangamia!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ukibandua habari seheme nyingine ukaja kubandika hapa bila maelezo yako yoyote ya ziada hujatoa mtazamo wowote, ni uchafuzi tu unafanya kwenye uzi.
Mkuu jitahidi kuvumilia mitizamo ya wengine kama wanavyo vumilia ya kwako.
 
Nini maana ya "free trade talks" ?
Kasikilize video kuanzia sec 45
1.Watazungumzia maswala ya ushirikiano upande wa elimu, ulinzi na Usalama.

2.MGOGORO WA RUSSIA NA UKRAINE (nazani unajua msimamo wa UK ni upi).

3.Mgogoro wa Iraq.

Anzia sec 45,kwa hiyo wewe umesoma kichwa cha habari clip hukutizama, nyie ndio wale mmeona kichwa cha habari Rais kafumaniwa mnaelewa vingine bila kusoma content.

Mimi kingereza changu cha kununulia whisky na bia.
 
Meli za Marekani zipo well equipped and guided, sio rahisi kuzizamisha kama hizo za Russia.
 
 
Yule wa hot news mwanzoni nilivumilia lakini mwisho nilichoka unakuta mtu anapost comment 50 non stop,unaanza kuhangaika kutafuta comments za watu,ikabidi nimute comment zake.
Uyo jamaa wa hot news uwa ana nikera sana ngoja na mimi ni mute.
 
Objective comment
 
Kwa hiyo unafikiri kwa sababu ya uvamizi wa Russia nchi haziwezi kuendelea kufanya mambo mengine kuendesha nchi zao?

Yani Boris asiende India au Biden asizungumze na Modi kupanua fursa za nchi zao kwa sababu kuna mwendawazimu mmoja anavurumisha makombora Ukraine?
 
Mkuu jitahidi kuvumilia mitizamo ya wengine kama wanavyo vumilia ya kwako.
Hiyo huwa si mitazamo yao,wanachokifanya ni 100% kutupostia copy na paste kutoka vyanzo ambavyo hata sisi tuna access ya kusoma huko huko.Mbona wewe hatukereki,ni kwa sababu 90% ya comments zako ni unatoa mtazamo wako wewe kama RTI
 
unafaham kuwa pamoja na hype kubwa kuhusu india kuendlea kununua mafuta toka urusi but si kwamba inaagiza mafuta mengi san toka urusi
mfano mwaka 2021 uagizaj wa mafuta india ulikua

1. Iraq—867,500 BPD (barrels per day)

2. United States—-545,300 BPD—14% of India’s overall imports in FEB 2021

3. Nigeria —-472,300 BPD

4. Saudi Arabia—-445,200 BPD—Saudi Arabia, which has consistently been one of India’s top two suppliers, slipped to No. 4 for the first time since at least January 2006.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…