joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Kwanza hizo video umeziona au unapayuka tu,kaitafute na hiyo.Hizo meeting zote zinafanyika agenda ni moja kumzuia India asiongeze uagizaji wa mafuta kutoka Russia.Kwa hiyo unafikiri kwa sababu ya uvamizi wa Russia nchi haziwezi kuendelea kufanya mambo mengine kuendesha nchi zao?
Yani Boris asiende India au Biden asizungumze na Modi kupanua fursa za nchi zao kwa sababu kuna mwendawazimu mmoja anavurumisha makombora Ukraine?
Urusi sio kitu cha ajabu kuiteka Ukraine, cha ajabu ni Urusi kushindwa kuiteka. Ukisoma comments zangu za mwanzo uzi huu sikuwa natarajia Urusi akae muda wote huu akiwa hana gains za maana.Lakini mkuu hata Urusi si ameshateka baadhi ya maeneo ya Ukraine?
Kwasababu Serikali ya Urusi imelimit kiwango Cha Kutoa fedha kwenye Bank za Russia KWENDA nje ya Nchi,Hi approach inasaidia kupunguza Outflow ya Currency na kuongeza Strength ya Currency japo Ni kwa mda mfupi. Thamani halisi ya Ruble itajulikana baada ya Urusi kuruhusu Miamala isiyo na kikomo KWENDA nje ya Nchi,Hapo ndipo utarudi hapa kuniambia.Hv kwanini rubo imepanda thamani licha ya VIKWAZO !!!??
Putin ni barbarian, hajawahi kujali maisha ya binadamu. Alepo na Grozny ni ushahidi tosha.
sawa banah ila urusi wenyewHio S-400 mpaka sasa ndo best airdefense bado inawakimbiza, tukiileta S-550?
haha yani ww na akili yako unaamin kuwa urusi anafny demilitarization na si invasion na kuseize territory? yaan ht russia ynyw imeshasema inataka kuchukua udhibiti kamili wa donbass na tayari ameshachukua ht hatua ya kutambua uhuru wao ila ww bado unaamin hii ni demilitarization tu!!
kinachoonekana mkuu wanguWewe unaamini nini mkuu!?
Kabisa mkuu. Najua una mapenzi na Urusi, Naona mmepata janga la meli. Leo mapumziko nafuatilia OP kwa ukaribu. 😀😀Kumekucha ndugu...[emoji4][emoji4]
Hiyo huwa si mitazamo yao,wanachokifanya ni 100% kutupostia copy na paste kutoka vyanzo ambavyo hata sisi tuna access ya kusoma huko huko.Mbona wewe hatukereki,ni kwa sababu 90% ya comments zako ni unatoa mtazamo wako wewe kama RTI
Mimi Kuna vitu nimewapuuzia sana Pro Russia, yaani Kuna vitu wakisema unaweza ukazani Russia ana humuimu wa aina yake Duniani.. mfano ni trade Kati ya India na Russia yaani hata kabla ya Vita ukiangalia mataifa yanayofanya trade na India, Russia haipo hata top 20, ukija Africa ukitafuta mashirika ya Ndege ya yanayotumia Ndege zinazoundwa Russia utatafuta kwa tochi, Sasa uje kwenye magari, labda lugalo tu ndio utayakuta...unafaham kuwa pamoja na hype kubwa kuhusu india kuendlea kununua mafuta toka urusi but si kwamba inaagiza mafuta mengi san toka urusi
mfano mwaka 2021 uagizaj wa mafuta india ulikua
1. Iraq—867,500 BPD (barrels per day)
2. United States—-545,300 BPD—14% of India’s overall imports in FEB 2021
3. Nigeria —-472,300 BPD
4. Saudi Arabia—-445,200 BPD—Saudi Arabia, which has consistently been one of India’s top two suppliers, slipped to No. 4 for the first time since at least January 2006.
kuna decree putin aliisign kwa exporters ht km ukiuza kwa foreign currency lazima ubadilishe 80% kwenda ruble, hivi ndio vitu vilivyoboost ruble na ndio vitu vitavyofny nchi zingine zisitumie hio sarafu, sarafu haiwez ikawa inapanda au kushuka kutokana na decree ya serikali halafu watu wakaitumia km reserve currency, ht washirika wa urusi wnyw hawaweziKwasababu Serikali ya Urusi imelimit kiwango Cha Kutoa fedha kwenye Bank za Russia KWENDA nje ya Nchi,Hi approach inasaidia kupunguza Outflow ya Currency na kuongeza Strength ya Currency japo Ni kwa mda mfupi. Thamani halisi ya Ruble itajulikana baada ya Urusi kuruhusu Miamala isiyo na kikomo KWENDA nje ya Nchi,Hapo ndipo utarudi hapa kuniambia.
Kwanza hizo video umeziona au unapayuka tu,kaitafute na hiyo.Hizo meeting zote zinafanyika agenda ni moja kumzuia India asiongeze uagizaji wa mafuta kutoka Russia.
View attachment 2188213
Sawa mzee wa last shipMeli za Marekani zipo well equipped and guided, sio rahisi kuzizamisha kama hizo za Russia.
kinachoonekana mkuu wangu
Kuruhusu ushoga ndo kujali maisha ya binadamu??
Zamwaka huu!!!??unafaham kuwa pamoja na hype kubwa kuhusu india kuendlea kununua mafuta toka urusi but si kwamba inaagiza mafuta mengi san toka urusi
mfano mwaka 2021 uagizaj wa mafuta india ulikua
1. Iraq—867,500 BPD (barrels per day)
2. United States—-545,300 BPD—14% of India’s overall imports in FEB 2021
3. Nigeria —-472,300 BPD
4. Saudi Arabia—-445,200 BPD—Saudi Arabia, which has consistently been one of India’s top two suppliers, slipped to No. 4 for the first time since at least January 2006.
Hivi ndio ule uzi tulikuwa tunabishana hasa submarines za Russia na Marekani.Ila mkuu kuna uzi mmoja umenitoka kichwani tulibishana sana kuhusu hizi meli.
Nakumbuka nilikuambia ya kwamba mameli haya yanatisha tu kwa kuyaangalia tu, lakini uwezekano wa kuyalinda huwa ni mdogo sana hasa ukizingatia makombora mengi ya kushambulia meli huwa yana safiri kwa kimo cha chini sana.
Ukikutana na nchi yenye antship zenye uwezo mkubwa na za masafa marefu kama Iran au Israel hayo mameli hayatakusaidia kwa lolote.
Hata hizo meli za Marekani unazo zisifia ni bado tu haijakutana na nchi yenye uwezo tu wa kuzishambulia .
yeah na ukweli ni kuwa ulaya ndio mashirika mkubwa wa kibiashara wa russia kuliko ht china na urusi, ila sema tu wao hawapendi takwimu wanapendelea kulumbana tu bila hoja, kimsingi russia inapata sana political support kutoka kwa washirika wake ila hali ni tofauti katika economic issues,Mimi Kuna vitu nimewapuuzia sana Pro Russia, yaani Kuna vitu wakisema unaweza ukazani Russia ana humuimu wa aina yake Duniani.. mfano ni trade Kati ya India na Russia yaani hata kabla ya Vita ukiangalia mataifa yanayofanya trade na India, Russia haipo hata top 20, ukija Africa ukitafuta mashirika ya Ndege ya yanayotumia Ndege zinazoundwa Russia utatafuta kwa tochi, Sasa uje kwenye magari, labda lugalo tu ndio utayakuta...
Russia anapewa humuimu usio wa lazima