Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jibu ni angetaka diplomacy, the same anachosema kuhusu Finland na SWEDEN kuingia NATO angekifanya kwa Ukraine kuimarisha Ulinzi wa mpaka wake na Ukraine
 
Umenifanya nicheke peke yangu hadi watu wamenishangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
 
Naongezea na hii au RUSSIA alivyopeleka Tu bomber kule CARACUS
 

Yule Bado ni joti haibadilishi maana
 

Umeandika upupu, hata iungane dunia nzima Russia haanguki leo wala kesho.
 
Aisee mkuu umemaliza kila kitu,na kwny ile post ya mkuu Galip S-22 alivyoeleza Ni kwanini Russia haimalizi Vita haraka na Ni kwanini haiwafungii mabomba yake ya gas EU nilizidi kupanuka mawazo.

Kwa Hii generation yetu propaganda za wazungu zitafeli big big time na hii Vita ita-prove hilo,nadhani watakuja na silaha nyingine lkn silaha ya propaganda ishafeli hio.

From Uni-polar to Multi-Polar.Imeisha hio
 
Okey mkuu...

ina maana unapokuwa jirani na nchi kama Urusi hutakiwi kuwa imara kijeshi wakati huo huo ukawa na rafiki na nchi isiyopatana na Urusi, hichi ndicho kinachokufanya uone ni sawa Ukraine kupigwa si ndio?
 
Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
Iwe kwa US RUSSIA NATO
Suala lakuivamia nchi nyengine bila yasababu halikubaliki nawala sio lakushadidiwa wala lakuungwa mkono nahalifai hata robo!!!
 
Jibu ni angetaka diplomacy, the same anachosema kuhusu Finland na SWEDEN kuingia NATO angekifanya kwa Ukraine kuimarisha Ulinzi wa mpaka wake na Ukraine
Nimeona mechi yenu ya kiutu uzima nami niongezee.

Kuimarisha mipaka sawa ila kumbuka kuna watu wanaoongea Russian ndani ya Ukraine.
Hawa watu walitakiwa kulindwa la Russia . Walikuwa wanateswa na wanazi.
Nafikiri nadhani ndo hayo majimbo ya Donnbas na Luha
 
Iwe kwa US RUSSIA NATO
Suala lakuivamia nchi nyengine bila yasababu halikubaliki nawala sio lakushadidiwa wala lakuungwa mkono nahalifai hata robo!!!
Umeongea point nzuri sana mkuu. Na hili ndilo tunatakiwa tulipinge na si kuchukua upande na kuanza kuparuana.
 
Kama una ndugu yako maeneo ya kiev mwambie arudi mapema kwenye andaki.vitu vinaelekea kazini

Mkuu acha uongo, si tuliambiwa wanajeshi wa Russia hawana kabisa morali ya kupigana na wamebakiza chakula Cha siku 3 tu?Hii lazima Ni Photoshop kutoka Moscow.

Russia Ni maskini mnooo hawezi kua na hayo madude.NAKATAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…