Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

hata allies wa urusi wenyew hawajui km ukraine inaendeshwa na wanazi
 
Asante kwa swali, jibu ni rahisi.
1) Si Wanazi wa Ujerumani walipigwa na nchi nyingine. Wanazi wa Ujerumani walishambulia nchi nyingine walioshikamana kujitzetea na kuteteana.
Je unajua kwamba mwanzoni Wanazi wa Ujerumani walishikamana na Urusi? Waligawa Poland kwa pamoja, na baadaye Ujeruamni iliachia Urusi nchi ndogo za Baltiki (LAtvia, Lithuania, Estonia) zilizovamiwa na Urusi mwaka 1940

Sasa ujiulize nani mshambuliaji mwaka huu?

2. Lugha ya Wanazi wa Ukraine ni propaganda ya Kirusi. Hali halisi kuna Wanazi wengi Urusi kuliko Ukraine. Nchini Ukraine kulikuwa na uchaguzi huru (tofauti na Urusi) . Chama cha Svoboda kilichokuwa na Wanazi kadhaa kilifeli kabisa kikapata asilimia 2.15 na mbunge 1 kati ya zaidi ya 400.
 
Dah Kuna kitu kikubwa kinaenda kufanyika huko.
Aisee tusubiri.
Duh...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuleta professional army kwani wengi waliopo Ukraine kwa Sasa ni conscripts...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuifuta operation na Sasa kuwa conventional war...
Nimeangalia BBC, Skynews na Aljazeera watangazaji wote wako very cautious na kinachoendelea huko Ukraine Jana na leo...kimsingi watangazaji hao Wana namna ya hofu kuhusu kile ambacho Russia inatarajia kukifanya from now on...
 
Hapana Mkuu,wali vijana waliopo Ukraine tokea mwanzo wamefanyabkazi Mzuri sana.
Ila naona hizi silaha anazopeleaka Urusi Sasa ni baada ya kuona kuwa NATO wako nyuma ya pazia na akina USA UK Fr na akina German wamekazana kupeleka sila na fedha.
Sasa naona Russia anataka kuwapelekea SoMo zito.
Tusubiri tuone.
Hali inatisha.
 
Yaani Mtu upo Kwenye Nchi yako na Na Unaishi kama Digi Digi
Umejaza Mifuko ya Mchanga Ndani Ya Mlango Wa Nyumba Unayo Jifichia!!
Wakati Unalindwa Na kusaidiwa na Nchi 30+
mbona jamaa tunamuona amevaa gwanda anatembelea vikosi vyake .🇺🇦🇺🇦🇺🇦 au tukuletee na picha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…