Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuhadithie Hapo ... Gaidi wa kujitoa mhanga ... Alijitoaje mhanga KULIPUA melivita... Walimpandisha au!!??
 
hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Undugu hauwezi kwishaa we huoni japani kagongwa NUKE'S na marekani enzi hizo ....kwani we umeona wana uadui mpaka leo au undugu umeisha ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Wakati huo Ukraine itakuwa imebaki na eneo sawa na Rwanda. Hana bandari wala maeneo yote muhimu ya uchumi. Sasa atakuwa na faida gani?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
MKUU NIMEIPENDA HII KUTOKA KWENYE ARTICLE YAKO ......BIG UP BROOH [emoji109][emoji109]

Washamba wanashangilia meli moja ya Russia kupigwa, huo ni upuuzi tu, Russia anapigana vita ya akili, Ukraine anapigana vita ya Propaganda.

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kujidanganya!Kama Russia ni level ya Iraq,mbona Marekani inahofia kuingia kwenye mgogoro wa Kivita dhidi yake?
Wewe una akili kuliko hao intelligence unit ya US na NATO?
Ni kweli hata wao walijua Russia ni Superpower mwenzao lakini sasa ndio wanashitukia kuwa uwezo wa Russia ulikuwa overrated tofauti na uhalisia. Ndio maana wanazidi kumsapoti Ukraine ili kumchokonoa jamaa waendelee kumsoma. Huu mtego alioingizwa Putin uko well calculated. Ni suala la Muda tu
 
Kuna habari humu katangaza vita ya tatu sababu ya meli, sasa sijajua kama ni habari sahihi au la.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…