Ni sahihi. Ila hizo milage anazipata vipi na kazidiwa anapigwa? Ilitakiwa muda huu awe amekubaliana na Puttin kuhusu usalama wake wa kisiasa sababu amezidiwa. Au hajazidiwa bado?Wanasiasa wanatafuta mileage tu hawajali watu kufa kila mtu anatizama maslahi yake ndio maana hata yule Rais aliyepita wa Ukraine naye yuko huko barabarani kutafuta kick za kisiasa.
Kukataa ni ile hali kwamba sisi hatukubaliani na mazungumzo yoyote mwisho wa story ila kusema tuko tayari lakini uwanja ubadilshwe sio issue. Russia mshirika wake mkubwa China kamwambia maliza kwa kuongea sasa lazima aoneshe kuwa mimi nimekubali ila mwenzangu kakataa huko mbeleni isiwe mimi ndio jeuri maana hata vita viendelee mwisho wa siku ni lazima watu watakaa meza moja kuongea sasa badala ya kupoteza maisha ya watu bila sababu kwanini msiongee kabla ya majanga zaidi.Lakini ni ajabu kidogo. Au wewe unaonaje?
Kwa maelezo yako ni kwamba Ukraine bado ana nguvu ya kuendelea kumzuia Russia. Hajazidiwa kiasi cha kukubaliana na matakwa yake. Si ndio?Kukataa ni ile hali kwamba sisi hatukubaliani na mazungumzo yoyote mwisho wa story ila kusema tuko tayari lakini uwanja ubadilshwe sio issue. Russia mshirika wake mkubwa China kamwambia maliza kwa kuongea sasa lazima aoneshe kuwa mimi nimekubali ila mwenzangu kakataa huko mbeleni isiwe mimi ndio jeuri maana hata vita viendelee mwisho wa siku ni lazima watu watakaa meza moja kuongea sasa badala ya kupoteza maisha ya watu bila sababu kwanini msiongee kabla ya majanga zaidi.
Na lazima ujuwe mahesabu ya wanasiasa wao kikubwa ni image yake hata Saddam wakati anapigwa alijuwa kabisa vita hawezi kushinda lakini ile pride inawatesa, Gaddafi alijuwa anapigwa akaambiwa tutakutoa ukaishi nje alisema haendi kokote atakufa Libya na matokeo tunayajuwa. Kuna watu wanaishi na pride.Ni sahihi. Ila hizo milage anazipata vipi na kazidiwa anapigwa? Ilitakiwa muda huu awe amekubaliana na Puttin kuhusu usalama wake wa kisiasa sababu amezidiwa. Au hajazidiwa bado?
HajuiAndika UKRAINE.
Okey. Basi tusubiri. Unadhani kufikia lini huyu atakuwa mikononi mwa Russia?Na lazima ujuwe mahesabu ya wanasiasa wao kikubwa ni image yake hata Saddam wakati anapigwa alijuwa kabisa vita hawezi kushinda lakini ile pride inawatesa, Gaddafi alijuwa anapigwa akaambiwa tutakutoa ukaishi nje alisema haendi kokote atakufa Libya na matokeo tunayajuwa. Kuna watu wanaishi na pride.
Unajuwa mimi kujibu wakati niko nyuma ya keyboard nitakuwa nafanya ushabiki tu ila hata hizo Pro Ukraine media zote wanasema tu ni suala la muda tu kyiv kuanguka hilo wala hakuna anayebisha na hao ni wataalamu wa mambo ya vita lini hilo sio wa mimi kujibu ila kwa ufupi hata Baghdad pamoja na dunia nzima kujikusanya Kuwait ila iliwachukua 43 days kuwaondoa Baghdad.Kwa maelezo yako ni kwamba Ukraine bado ana nguvu ya kuendelea kumzuia Russia. Hajazidiwa kiasi cha kukubaliana na matakwa yake. Si ndio?
mimi niusifu ujasiri waoNa lazima ujuwe mahesabu ya wanasiasa wao kikubwa ni image yake hata Saddam wakati anapigwa alijuwa kabisa vita hawezi kushinda lakini ile pride inawatesa, Gaddafi alijuwa anapigwa akaambiwa tutakutoa ukaishi nje alisema haendi kokote atakufa Libya na matokeo tunayajuwa. Kuna watu wanaishi na pride.
We una ugomvi na mtu ,Ila huyo mtu anapitia kwa jirani kukurushia mawe halafu anakuambia kikao ya usuluhishi mkafanye kwa jirani utakubali?Kukataa ni ile hali kwamba sisi hatukubaliani na mazungumzo yoyote mwisho wa story ila kusema tuko tayari lakini uwanja ubadilshwe sio issue. Russia mshirika wake mkubwa China kamwambia maliza kwa kuongea sasa lazima aoneshe kuwa mimi nimekubali ila mwenzangu kakataa huko mbeleni isiwe mimi ndio jeuri maana hata vita viendelee mwisho wa siku ni lazima watu watakaa meza moja kuongea sasa badala ya kupoteza maisha ya watu bila sababu kwanini msiongee kabla ya majanga zaidi.
Wameshachukuwa mji wa pili kwa ukubwa Ukraine na kwa report kuna vikosi viko ndani ya Kyiv ila hawajaingia full convoy Kama ni Dar basi watu tuseme wako Kibaha sasa ikiwa unaanza kugawa K47 kwa watu na kuzuia watu miaka 18 mpaka 60 kutoondoka ina maana uko katika last defence line.Okey. Basi tusubiri. Unadhani kufikia lini huyu atakuwa mikononi mwa Russia?
Maana tayari kapokea silaha na kaonesha kummudu Urusi
Mimi sitaki kusema majasiri Ukraine ni nchi kubwa na wana jeshi kubwa tu tatizo hapa wanapigana na super power kuliko wao wanaonekana kama watoto lakini hawa Ukraine ingekuwa wanapigana na Belarus wangeonekana wakubwa tu. Nchi yoyote lazima uweze kupigana na nimetoa mfano vita vya kwanza vya Iraq ilikuwa ni jeshi kubwa kuvamia nchi moja yaani ilikuwa Dunia vs Iraq lakini walipigana 43 days. Hawa siku 2 tu jamaa wako Kibaha na kuanza kugawa k47mimi niusifu ujasiri wao
Hii SASA ni WW3