JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
View attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!
Sahii kabisa,Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.
Hadi kufika 2050 USSR itakuwa tayari imerejea, wenzetu wana vision na mission za mbali sana.
Uzuri wa Russia hawana historia ya kuingia na kutoka, tangu waakati wa Crimea. So, Ukraine ni hatua ya mbele zaidi. Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.Mm ninavyoona kama Ukrain kihistoria ni sehemu ya Russia basi Putin anajipiga mwenyewe kama gadafi alivyofanya kupiga raia wake waasi.
Mmarekani yupo nafasi aliyopo sababu ya wengine kupigana. Sasa hapo anachotaka ni mataifa mengine yakubali kuwasaidia Ukrain ili russia apigane weeeee uchumi udorore. Roho za kishetani kabisa hizi.
Kabisa wanachojua n kubweka tu without action Leo Russia kavamia Ukraine kesho atavamia korashia kesho kutwa GeorgiaHii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Hili uliloandika limekaa kidiplomasia na ndivyo inavyopaswa kuwa.Uzuri wa Russia hawana historia ya kuingia na kutoka, tangu waakati wa Crimea. So, Ukraine ni hatua ya mbele zaidi. Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.
Na uwezekano mkubwa ni kwamba amepata ushirikiano wa Rais wa Ukraine (ingawa Marekani amekuwa akimchumbia kwa muda mrefu). Ili asiwe suspect, amemwachia Russia mnofu wa majimbo mawili wa kuanza nayo katika expansion yake. Baadaye soon Ukraine nzima itakuwa chini ya Russia.
Wewe ndiye unayejua hayo. Kuanguka kwa Soviet zilikuwa ni njama za kigaidi za Marekani na mamluki wao ambao Soviet hawakuwa wamemjua.Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!
Wanachochea wauane uchumi udororeKabisa wanachojua n kubweka tu without action Leo Russia kavamia Ukraine kesho atavamia korashia kesho kutwa Georgia
Chonde! Chonde! Usije kujidanganya au kudanganywa hata siku moja eti kwenda kulinda amani mahali fulani ukiwa mikono mitupu! I tell you: hutapata hata muda wa kuja kusimulia vizazi vyako masahibu yatakayokufumbata huko field!Hili uliloandika limekaa kidiplomasia na ndivyo inavyopaswa kuwa.
Ila Sasa Mabomu na vita ni vya nn? Kwann raia wafe kama wanaelewana?
Uhuni huu ulianzia enzi za Cold War, USSR ilipoivamia Hungary. Hiki kinachoendelea hivi sasa ni muendelezo tu.Sahii kabisa,
Huu uhuni wa kuvamia kwa kisingizio Cha kulinda amani kauanzisha marekani
Kama ilivokuwa kwa Vita ya kwanza na yapili ya dunia uchumi utadorora kwa mataifa yote ata Africa tutaguswaWanachochea wauane uchumi udorore
Russia ni ndugu na Ukrain, wana historia ya pamoja. Mmarekani yeye ni mtu wa nje kabisa. Wakijikita kwenye undugu wao wakazungumza wangefikia suluhisho bila kuua watu wao. Ila wanajazwa upepo na mmarekani wauane wenyewe halafu vita ikiisha wanakuwa exhausted kiuchumi.Chonde! Chonde! Usije kujidanganya au kudanganywa hata siku moja kwenda kulinda amani ukiwa mikono mitupu! I tell you: hutapata hata muda wa kuja kusimulia vizazi vyako masahibu yatakayokufumbata huko field!
Ilikufa externally but internally ni sehemu ya Soviet, that why Russia wanaweza kuamua chochote na vyovyote nchi zote zilizokuwa chini ya USSR.Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!
Ila Mmarekani yeye atajiimarisha sababu anachokifanya ni kutoa silaha, kupeleka wanajeshi kutoka mashirika binafsi na kuhakikisha mataifa rafiki yanaongeza nguvu. Russia yeye atakuwa anapigana na ndugu zake.Kama ilivokuwa kwa Vita ya kwanza na yapili ya dunia uchumi utadorora kwa mataifa yote ata Africa tutaguswa
Hakuna lolote. Ni wishful thinking!Wewe ndiye unayejua hayo. Kuanguka kwa Soviet zilikuwa ni njama za kigaidi za Marekani na mamluki wao ambao Soviet hawakuwa wamemjua.
No real Russians ambao wameshakubali kuburuzwa kiasi hicho. Walikuwa wametulia kwa sababu hawakuwa na nguvu za kutosha. But sasa wamejipanga kwa muda mrefu.
Time for some showdown baby!
Nasikia baada ya KGB Putin kutangaza anaingia Ukraine licha ya vitisho bubu vya Pentagon, psychological size ya Marekani ime-decimate na kuwa almost infinitesimal!Uwepo wa urusi ni muhimu sana ili kubalance shobo!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hakuna ujiniasi ni ujinga tu na ubabe wa Kikondoo umemjaa. Wanaokuja kuteseka ni raia wa kawaida maana yeye na familia yake wanalishwa hata kwa senti ya mwisho ya serikali. Kuivamia Ukraine bila sababu ya msingi eti kuonesha wewe ni mbabe ni ujinga. Yeye kajiunga na China na Irani nani kamzuia, mwenzie kusema anajiunga na NATO ni dhambi? Uhuru wa Ukraine anao yeye Urusi?Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Alikuwepo Hitler,sasa yupo wapi?Wala sio genious. Ni vile watu wanaojielewa hawataki vita. Putin ni mgonjwa wa akili ana paranoia huyu.Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.