JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
View attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!
Mm ninavyoona kama Ukrain kihistoria ni sehemu ya Russia basi Putin anajipiga mwenyewe kama gadafi alivyofanya kupiga raia wake waasi.
Mmarekani yupo nafasi aliyopo sababu ya wengine kupigana. Sasa hapo anachotaka ni mataifa mengine yakubali kuwasaidia Ukrain ili russia apigane weeeee uchumi udorore. Roho za kishetani kabisa hizi.