LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
View attachment 2129237

Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!

Mm ninavyoona kama Ukrain kihistoria ni sehemu ya Russia basi Putin anajipiga mwenyewe kama gadafi alivyofanya kupiga raia wake waasi.

Mmarekani yupo nafasi aliyopo sababu ya wengine kupigana. Sasa hapo anachotaka ni mataifa mengine yakubali kuwasaidia Ukrain ili russia apigane weeeee uchumi udorore. Roho za kishetani kabisa hizi.
 
Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Sahii kabisa,
Huu uhuni wa kuvamia kwa kisingizio Cha kulinda amani kauanzisha marekani
 
Mm ninavyoona kama Ukrain kihistoria ni sehemu ya Russia basi Putin anajipiga mwenyewe kama gadafi alivyofanya kupiga raia wake waasi.

Mmarekani yupo nafasi aliyopo sababu ya wengine kupigana. Sasa hapo anachotaka ni mataifa mengine yakubali kuwasaidia Ukrain ili russia apigane weeeee uchumi udorore. Roho za kishetani kabisa hizi.
Uzuri wa Russia hawana historia ya kuingia na kutoka, tangu waakati wa Crimea. So, Ukraine ni hatua ya mbele zaidi. Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.

Na uwezekano mkubwa ni kwamba amepata ushirikiano wa Rais wa Ukraine (ingawa Marekani amekuwa akimchumbia kwa muda mrefu). Ili asiwe suspect, amemwachia Russia mnofu wa majimbo mawili wa kuanza nayo katika expansion yake. Baadaye soon Ukraine nzima itakuwa chini ya Russia.
 
Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Kabisa wanachojua n kubweka tu without action Leo Russia kavamia Ukraine kesho atavamia korashia kesho kutwa Georgia
 
Uzuri wa Russia hawana historia ya kuingia na kutoka, tangu waakati wa Crimea. So, Ukraine ni hatua ya mbele zaidi. Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.

Na uwezekano mkubwa ni kwamba amepata ushirikiano wa Rais wa Ukraine (ingawa Marekani amekuwa akimchumbia kwa muda mrefu). Ili asiwe suspect, amemwachia Russia mnofu wa majimbo mawili wa kuanza nayo katika expansion yake. Baadaye soon Ukraine nzima itakuwa chini ya Russia.
Hili uliloandika limekaa kidiplomasia na ndivyo inavyopaswa kuwa.

Ila Sasa Mabomu na vita ni vya nn? Kwann raia wafe kama wanaelewana?
 
Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!
Wewe ndiye unayejua hayo. Kuanguka kwa Soviet zilikuwa ni njama za kigaidi za Marekani na mamluki wao ambao Soviet hawakuwa wamemjua.

No real Russians ambao wameshakubali kuburuzwa kiasi hicho. Walikuwa wametulia kwa sababu hawakuwa na nguvu za kutosha. But sasa wamejipanga kwa muda mrefu.

Time for some showdown baby!
 
Hili uliloandika limekaa kidiplomasia na ndivyo inavyopaswa kuwa.

Ila Sasa Mabomu na vita ni vya nn? Kwann raia wafe kama wanaelewana?
Chonde! Chonde! Usije kujidanganya au kudanganywa hata siku moja eti kwenda kulinda amani mahali fulani ukiwa mikono mitupu! I tell you: hutapata hata muda wa kuja kusimulia vizazi vyako masahibu yatakayokufumbata huko field!
 
Chonde! Chonde! Usije kujidanganya au kudanganywa hata siku moja kwenda kulinda amani ukiwa mikono mitupu! I tell you: hutapata hata muda wa kuja kusimulia vizazi vyako masahibu yatakayokufumbata huko field!
Russia ni ndugu na Ukrain, wana historia ya pamoja. Mmarekani yeye ni mtu wa nje kabisa. Wakijikita kwenye undugu wao wakazungumza wangefikia suluhisho bila kuua watu wao. Ila wanajazwa upepo na mmarekani wauane wenyewe halafu vita ikiisha wanakuwa exhausted kiuchumi.
 
Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!
Ilikufa externally but internally ni sehemu ya Soviet, that why Russia wanaweza kuamua chochote na vyovyote nchi zote zilizokuwa chini ya USSR.

Tujipe muda Ukraine hadi May 2022 itakuwa ni sehemu ya Russia kwa msingi wa kuilinda na kulinda maslahi ya Russia yaliyotengenezwa enzi na enzi na waasisi.
 
Kama ilivokuwa kwa Vita ya kwanza na yapili ya dunia uchumi utadorora kwa mataifa yote ata Africa tutaguswa
Ila Mmarekani yeye atajiimarisha sababu anachokifanya ni kutoa silaha, kupeleka wanajeshi kutoka mashirika binafsi na kuhakikisha mataifa rafiki yanaongeza nguvu. Russia yeye atakuwa anapigana na ndugu zake.
 
Wewe ndiye unayejua hayo. Kuanguka kwa Soviet zilikuwa ni njama za kigaidi za Marekani na mamluki wao ambao Soviet hawakuwa wamemjua.

No real Russians ambao wameshakubali kuburuzwa kiasi hicho. Walikuwa wametulia kwa sababu hawakuwa na nguvu za kutosha. But sasa wamejipanga kwa muda mrefu.

Time for some showdown baby!
Hakuna lolote. Ni wishful thinking!
 
Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Hakuna ujiniasi ni ujinga tu na ubabe wa Kikondoo umemjaa. Wanaokuja kuteseka ni raia wa kawaida maana yeye na familia yake wanalishwa hata kwa senti ya mwisho ya serikali. Kuivamia Ukraine bila sababu ya msingi eti kuonesha wewe ni mbabe ni ujinga. Yeye kajiunga na China na Irani nani kamzuia, mwenzie kusema anajiunga na NATO ni dhambi? Uhuru wa Ukraine anao yeye Urusi?
 
Lengo la putin hapo mwanzo halikuwa kuivamia Ukraine.

Bali lengo la putin kupeleka majeshi yake mpakani mwa Ukraine ,ilikuwa ana jaribu kuishinikiza Nato kuja kwenye meza ya mazungumzo ili NATO iweze kumhakikishia usalama wa taifa lake.
Lakini hakuna alicho ambulia ya kejeli na vitisho.
Na ndio maana jana Trump alimuita Putin ni mtu mwenye akili nyingi.

Putin aliweka huu mtengo kwa makusudi ili NATO ikishindwa kutimiza matakwa yake iwe ndo kisingizio cha kuivamia Ukraine lakini chakushangaza NATO walishidwa kuutegua huu mtego mwishowe wameiponza Ukraine.
 
Back
Top Bottom