Jitahidi kwanza utunge misamiati mipya ya matusi ndio unitag!haya uliyotumia yamezoeleka Sana..okay little brotherKenge akili zenu zimehamia huko chini ....mnabaki mnafarijiana ujinga ....PUTIN atawafumua marnda yenu safari hii ...punguani ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
nchi maskini mkuu! kwa vigezo vipi?Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa
Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
pro russia wote humu wanatukana, ndege wafananao wanaruka pamojaJitahidi kwanza utunge misamiati mipya ya matusi ndio unitag!haya uliyotumia yamezoeleka Sana..okay little brother
Mkuu meli ilishambuliwa,lakini hiyo ndiyo vita yenyeywe.Lazima ufiche ukweli ili kuendelea kuwapa wapiganaji na wananchi morale.Remember Putin needs the support of his people in the war efforts.Na support of the citizenry ndiyo inayowapa pia fighters morale!duh! lkn urusi ilishasema kuwa meli haikushambuliwa, sasa watatumiaje kuzama kwa meli km sababu ya kutangaza vita??
Sijakushambulia jombaaa... Samahani lakini kama lugha niliyotumia imekuchanganya lakini ni kiswahili hikihiki... Blessings mi nimebaki kwa kiasi kikubwa kuwa mtazamaji tu... Na kuongeza ubani kwenye chetezo pale unapopelea.Mkuu hatujawahi kuelewana kuhusiana na hili suala. Tuna mitazamo tofauti.
Hili uliloandika hapa linathibitisha sababu kama unavyosema, sijatoa maamuzi yoyote ambayo hayajawekwa wazi na wahusika ila nilichofanya ni kutoa link ya habari iliyopo humu ambayo nimekiri sina hakika na uhalali wa habari yenyewe ila umenishambulia kwa sababu umeona nafasi ya kufanya hivyo na kwa sababu unajua kabisa sipo upande wa Urusi kuivamia Ukraine na wewe unasapoti hilo.
Daaahh!!! Kiongoz mimi sitaki kubishana na wewe... kwamba unataka vigezo vya kwanini nchi za Bara la AFRICA,South America and Asia ni masikini au..??nchi maskini mkuu! kwa vigezo vipi?
sawasawa mkuu,Mkuu meli ilishambuliwa,lakini hiyo ndiyo vita yenyeywe.Lazima ufiche ukweli ili kuendelea kuwapa wapiganaji na wananchi morale.Remember Putin needs the support of his people in the war efforts.Na support of the citizenry ndiyo inayowapa pia fighters morale!
ok nlijua russia mkuu, sorryDaaahh!!! Kiongoz mimi sitaki kubishana na wewe... kwamba unataka vigezo vya kwanini nchi za Bara la AFRICA,South America and Asia ni masikini au..??
Kiongoz unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivyo ambavyo hata mazingira tu yanayokuzunguka wewe au watu wa karibu yako ni kielelezo tosha cha hoja yangu hapo juu
Unazifahamu source's of income za hiyo nchi uliyoitaja !!? Usije tu na lumpsum!!??Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa
Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
Bado point yako ni dhaifu chief.... kwani kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha vitumbua cha MO na MO mwenyewe nani mwenye pesa?Unazifahamu source's of income za hiyo nchi uliyoitaja !!? Usije tu na lumpsum!!??
Russia sio nchi masikini ila haiwezi kushindana na nchi za west kiuchumi.ok nlijua russia mkuu, sorry
Hahaha. Na kweli sijaona ukipost sana.Sijakushambulia jombaaa... Samahani lakini kama lugha niliyotumia imekuchanganya lakini ni kiswahili hikihiki... Blessings mi nimebaki kwa kiasi kikubwa kuwa mtazamaji tu... Na kuongeza ubani kwenye chetezo pale unapopelea.
[emoji23][emoji23][emoji23]...asa kwani nilivosema hivo ndo nimemaanisha kuwa THE MIGHT RUSSIAN hana utajiri ndo maana nawaambiaga pro Nato mnaakili CHEAP sanaa ......labda nikuulize swali tunaambiwaga humu kuwa vita inahitaji uwe na uchumi mkubwa sasa kama russia sio tajiri na hana fedha anathubutuje kusimama mbele ya NATO na wenzie US ....anaigonga ukraine na bado kwa wakati huo huo anataka kuinyoosha FIN na SWEDISH ....ebu sumbua MEDULA muzee ....[emoji3][emoji3][emoji3] ...si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
Sasa nendeni mkasome hizo International finances.. wakati mwenzenu mbobezi wa International economics... Ndio utajua nani ni sub wa nani .. nawaacha tu..Bado point yako ni dhaifu chief.... kwani kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha vitumbua cha MO na MO mwenyewe nani mwenye pesa?
Siku zote maisha hayajawahi kua sawa na hio ndio nature ya ulimwengu wetu ni lazima wawepo binadam wenye uwezo wa kuwatumia wengine ili maisha yaendelee [emoji3]
So points za kwamba wanakuja bongo kuchukua dhahabu,almasi sijui nini na nini(ni tafsiri ya ujinga)