Alalfu hili swala la katiba ninani wanao iandika ni maalaikaa au ni mwanadamu ......kwa mfano kenya hapo juzi tu wamebadili katiba kilicho badilika nini kama ufisadi uko pape pale kama ni ubaguzi uko pale .......mi nawa ul8za tu HII katiba mayoililia inasaidia nini kubadilisha tabia za binadamu ...amna putin anataka kutawala peke yake kila kukicha anabadili katiba awe eligible, juzi tu hapa katoka kubadilisha...atakae nyanyua shingo kumchallenge ni ndani au apotezwe km kina Nemstov
Uturuki ni mwanaNATO. Maana yake Uturuki kutumia mfumo wa Kirusi kunaleta shida kutumia ndege za Kimarekani huko. Kwa sababu kompyuta zinatumia programu zinazoona ndege hizo kama adui, pia kuna swali kiasi gani Warusi wanaweza kuingiza virusi mkatika maunzolaini ya mfumo.Wanasaga meno sana tu anagalia hhi picha ni wakati watrump kipindi kile .
...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2189693
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Sasa mfumo wa marekani ndo una ulazimisha tuutumie dunia nzima kila nchi ina maamuz yake sema kwa kuwa baadhi ya nchi ni dhaifu so hawana budi kufuata ya marekan ......angalia china ina katiba yao russia ina katiba yao ..korea na iran .....sio lazima tufanane ...mbn unarukaruka mzee kila kitu nyie mbn marekan mbn marekan, kwan marekan kuna rais aliwah badili katiba ili aendelee kugombea? hebu mtaje basi
Kwani nimemtukana nani hapo ...au macho yako ni kengeza yaani yamekaa kushoto kuliahalafu acha matusi, kila mtu anajua matusi humu ndani
kweli sio lazima tufanane ila hii tabia ya kina museven na putin kubadili katiba ili waendelee kutawala wao tu sio issue,Sasa mfumo wa marekani ndo una ulazimisha tuutumie dunia nzima kila nchi ina maamuz yake sema kwa kuwa baadhi ya nchi ni dhaifu so hawana budi kufuata ya marekan ......angalia china ina katiba yao russia ina katiba yao ..korea na iran .....sio lazima tufanane ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
we si umetukana juu kule au memory ndogoKwani nimemtukana nani hapo ...au macho yako ni kengeza yaani yamekaa kushoto kulia
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ebu leta copy wacha kuruka ruka kama maharage hapawe si umetukana juu kule au memory ndogo
Na silaha za maangamizi walizozipata kule Iraq Ni [emoji116][emoji116]Kwani marekani anavozivamia nchi dhaifu kama iraq ..libya ...we huoni kama ni udikteta huo .......
Au ndo ulle usemi kuwa AKILIA NDEGE NI SAWA ILA AKILI BUNDI mnaanza kusema anatuchuria kifo ....[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Achana nae mtoto huyo anadhani hii Ni Instagram ambapo matusi ndio ujanja..we si umetukana juu kule au memory ndogo
Blaaza ishu sio mtu kutawala ishu ni mfumo wa uendeshaji wa nchi sio lazima tufananee ....kila nchi ina maamuzi yake sema kwa sababu ya uchanga wa nchi nyingi kiuchumi kijeshi tunajikuta tunaimba wimbo wa democracy wa marekani .....ili hali wao ni wavunjaji wa katiba .....mfano tumeona hapa kwenye uhuru wa habari .....duniani kote jinsi wazungu walivoonyesha uhuru wa habar unavotakiwa ukiiisapot ukraine wewe ni rafiki yao ukiisapoti RUSSIA unapigwa bann sasa hapo katiba haijavunjwa na tena wanatulazimisha tuchague upande wao ili kuishambulia russia ...na hii inatoka ndani ya katiba yao kwa kutetea uhuru wa mtu kuchagua anavotaka kuishi unayopigia kelele humu .......kweli sio lazima tufanane ila hii tabia ya kina museven na putin kubadili katiba ili waendelee kutawala wao tu sio issue,
Comedian anadhani kila kitu ni vichekesho tu hata katika umakini wa kuiongoza nchi yake [emoji848][emoji847]Wamuue comedian kazi iishe
Huyu jamaa hata ajielew ...alafu nimeshamuona anataka kuingiza jukwaa la siasa humu ....sijui katiba kutawala milele ......kila nchi ina uamuzi wa kuishi inavotaka ...Na silaha za maangamizi walizozipata kule Iraq Ni [emoji116][emoji116]View attachment 2189733
[emoji23][emoji23][emoji23] pale DJ atakapopata single mpya ile inayoitwa MELI MOSKASV imezama ndo utawaona wanakuja kama nguruwe humu kuruka debe ........DJ walete Pro NATO na kibao chao pendwa cha NO ACTION TALK ONLY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]Ila wa Russia mna hasira Sana leo...