Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin amelepua Ukraine nzima na kuua raia wengi lakini yeye akipigwa Neptune missile mbili tu! Anaitisha ww3. Shenzi
 
Sio kunywa tu Ulanzi ila HUO ULANZI NINAGEMA MWENYEWE . Na kuhusu Togwa sio Togwa tu bali NYULULU.
 
Haha hpn banah
 
[emoji2][emoji2]
Mm nipo hapa 24/7 huku napiga piga story na vijana wangu nyumbani. Nipo free hadi J3 ndo mihangaiko itarudi.
Nilidhani namjibu yule Pro Putin aliyesema huwa nakimbia Mkuu [emoji1787][emoji1787],wewe nakujua ni mtu wa taratibu huwa unaenda nao kadri wapendavyo halafu unawagonga na maswali mazito kwa mistari michache tu na hakuna anaekujibu [emoji3][emoji3]
 
Putin ni mtu muovu sana hajali maisha ya binadamu wengine, hatakubali kuonekana amefanya blunders na hakujipanga kuivamia Ukraine na kupigana na jeshi lake ataua raia wengi sana na kuigeuza baadhi ya miji magofu kama alivyofanya Alepo au Grozny.

Hao NATO wanajali maisha ya wengine?? Putin anajitahd sana kuipeleka operation kipasta human corridor zimekua nyingi, na bado anagawa chakula.

Tuje NATO wanakovamia wameshawai kujali maisha ya watu?? Acha ushabiki wa kindezi
 

Multipolarity ndo habar ya mjini kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…