Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Asia ni ya 1 mkuu
 
Nilidhani namjibu yule Pro Putin aliyesema huwa nakimbia Mkuu [emoji1787][emoji1787],wewe nakujua ni mtu wa taratibu huwa unaenda nao kadri wapendavyo halafu unawagonga na maswali mazito kwa mistari michache tu na hakuna anaekujibu [emoji3][emoji3]
😃😃
Naona Finland nae kaanza kumjaribu Puttin. Tusije jikuta tumekosa jukwaa la kujadiliana na kubishana iwapo uvumilivu utamshinda Puttin akatumia nuclear......

 
Kwani wanajeshi wa Russia si tuliambiwa hawana chakula?Njaa inawaua?

Mtoa mada Ni mwongo, Russia haina uwezo wa kushambulia kiev.
Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?
Uongo mwingine bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…