Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Anakudanganya TU huyo wanashinda mbona?Umeongea kwa upole sana mpaka nimejisikia vibaya. Pole ndio vita zilivyo lakini.
Upo sahihi kabisa,hili balaa kajitengenezea mwenyewe na hatokaa atulie kamwe.Watamsumbua sana,Putin anakuja kuwaachia matatizo watakaofuatia baada yake kutawala Russia.Urusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.
Hawana eeeeeeehKwa maoni yangu Ukraine Hawana tena cha kupoteza. Waendelee kusimama na msimamo wao.
Wanacho cha kupoteza.Kwa maoni yangu Ukraine Hawana tena cha kupoteza. Waendelee kusimama na msimamo wao.
Tatizo wenye roho za kishetani,wamagharibi wao huthamini zaidi vitu kuliko utu. Yaani Urusi aumie kiasi hicho kisa meli moja!!!Baada ya kutawala,nini cha maana anaambulia,au kuharibu majengo.Maumivu ya kuzamishwa ile meli hayaelezeki kwa Putin na hatokaa asahau mpaka anarudi kwa muumba wake.
Kama ni kukubali unyonge ilitakiwa pale mwanzoni kabisa wakati wameambiwa waweke silaha chini warudi nyumbani.Hawana eeeeeeeh
Kuna muda kupigana kusiko maana hakuna faida UKRAINE wangekubali kuwa wanyonge kuliko huu utoto waloufanya
Kama wewe ambavyo lazima ukufe tu... That's nature law...Kitu nina uhakika nacho putin ni lazima afe
Kitu nina uhakika nacho putin ni lazima afe
Hayo ni maneno ya kujipa moyo. Russia sio Marekani. Inayopambana na ugaidi miaka na miaka. Ukitaka kujua Russia ni nani waulize IS. Putin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa Mungu watu kama hao unaowasemaUrusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.
Hao defenders wamejitahidi sana kuushikiria huo mjiSurrender or dieView attachment 2190485
HawanaHivi Ukraine inasubiri nini kutuma ujumbe mzito Kremlin? Cruise missile moja tu inatosha kumzibua masikio Vladimir.
Bila ya Coward NATO kufanya hilo liwezekane basi sahau MKUUHivi Ukraine inasubiri nini kutuma ujumbe mzito Kremlin? Cruise missile moja tu inatosha kumzibua masikio Vladimir.
Kurudi mezani na kumpigia magoti Urusi sio option yenye manufaa kwa raisi wa UkraineWanacho cha kupoteza.
Roho zao na ardhi (sehemu) ya nchi yao. Thats a lot to loose man!
Mpk sasa hv kuna wakimbizi zaidi ya milioni nne kutoka ukraine, raia waliokufa ni maelfu, wanajeshi waliokufa ni maelfu, miundombinu iliyoharibiwa ya kiraia na kijeshi ni maelfu.
Endapo wataendelea na vita watapoteza maeneo mengi sana masahariki, kz na ks kuna possibility nchi yao ikabaki land locked. Idadi ya wakimbizi itaendelea kupanda halkadhalika vifo na majeruhi na hiyo sehemu waliyobaki nayo itaharibiwa vibaya. Wakiamua kusimamisha vita na kurudi mezani na kukubaliana na matakwa ya bwana putin hayo yanaweza kuepukika. Ni suala la kupiga mahesabu tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuushikilia mji wakiwa mapangoni? Acha mzaha wewe