NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Imagine upuuzi wa Jiwe , propaganda nyingi afu hakuna kitu anafanya zaidi ya kujitutumua.Teh teh.. kuwa epuka wakomunistin na ukomnisti ni CHANZO cha MAARIFA. ukomnisti na uwongo ni pacha😂😂
Hata kama una mahaba yaliyokithiri kwa upande mmoja, shirikisha hata akili kidogo.Ayo siku hizi anaandika habari za ovyo za kukreat attention ili kuongeza viewers wake kibiashara.
Uongo mkubwa br
Hujaelewa Ed. Aliyeomba mazungumzo ni Eukraine. Tukaambiwa anaomba poo maana kazidiwa. Sasa swali likaja kapewa nafasi ya mazumgumzo halafu anagoma tena? Unatoa masharti?Muwe mnasikiliza vizur... Ukraine haijakataa mazungumzo Bali imekataa sehem ya kufanyia mazungumzo....
Makaburi ya Russia sio magofu.Mwanaume kadinda,hakuna kupelekeshwa.Ukraine inaenda kuwa magofu Sasa,,, imekuwa uwanja wa Vita sasa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nchi inaweza ipiga nchi ambayo wananchi hawaitaki Serikali tofauti na hapo ni ngumu itakuwa mchezo wa kuviziana tuIko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.
Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.
Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.
Mrusi siyo zezeta.
Mji usharudishwa muda huuWameshachukuwa mji wa pili kwa ukubwa Ukraine na kwa report kuna vikosi viko ndani ya Kyiv ila hawajaingia full convoy Kama ni Dar basi watu tuseme wako Kibaha sasa ikiwa unaanza kugawa K47 kwa watu na kuzuia watu miaka 18 mpaka 60 kutoondoka ina maana uko katika last defence line.
Huo mji usharudishwa UkraineNyie ant russia(wapinga kristo/majafiri) baada ya Karkiv mnajua tunaenda mji gani?...... Mungu anasema "utakapoona makundi kwa makunndi wanaingia katika nchi yangu,basi nawe nenda kwa maana ukombozi haupo mbali. Huuu ndio ukombozi yaani USA na freemason wao wanaangamia na nguvu ya Mungu kupitia Urusi
Wao hawapeleki vita nje ya mipaka yao ila Belarus ajiangalie mabomu yanatokea kwake ataanza pigwa na yeyeView attachment 2132962
Ukraine: We're kicking ass but also please help us!
Ukraine wananifurahisha sana! Vita ina siku 3 kwa 4 wamewaangusha Urusi hivyo! Ok, ni lini watafika Moscow na kuizingira?
Urusi ndiye anatakiwa toa dataTunahitaji data za pande zote
Vita kamili huku NATO ikiendelea peleka msaada[emoji298]️Minsk: Russian delegation proposal deadline for talks with Ukraine has just expired
ww amekudanganya nani? Alafu natafuta location yako ili nimtumie Mrs Put in kuwa wakraine wengine wapo hapaMji usharudishwa muda huu
Maana vile vifaru vitajua havijuiFIRST: US-made anti-bunker grenade launcher found in Ukrainian positions near the city of Mariupol
Unafikiri Babu putin anapenda kuchelewesha jasho la mbupu na rupu linamvuja huko yeye na wanajeshi wakeQomamae zake Ukraine amesusa kikao? Haya atawekwa kikaungoni sasa alafu haya mambo ya kucheleweshwa cheleweshwa Ukraine yananiudhi sana. Tummalize before Simba hajamlamba Rebeka jioni
Heheheh Putin kajifichaww amekudanganya nani? Alafu natafuta location yako ili nimtumie Mrs Put in kuwa wakraine wengine wapo hapa
sasa ndo mchezo unaanzaMaana vile vifaru vitajua havijui
Aliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma kufanyia Belarus...anataka sehem nyingine.. deadline aliyoitoa Russia ndo imeexpire saa moja lililopita..maana yake Sasa Russia hahitaji mazungumzo tena Bali kuondoa madarakan utawala wa zelensky...Hujaelewa Ed. Aliyeomba mazungumzo ni Eukraine. Tukaambiwa anaomba poo maana kazidiwa. Sasa swali likaja kapewa nafasi ya mazumgumzo halafu anagoma tena? Unatoa masharti?