LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
SmartSelect_20220227-152732_Twitter.jpg
 
Ayo siku hizi anaandika habari za ovyo za kukreat attention ili kuongeza viewers wake kibiashara.
Uongo mkubwa br
Hata kama una mahaba yaliyokithiri kwa upande mmoja, shirikisha hata akili kidogo.

Sasa hapa unamlaumu Ayo kwa ubaya gani? Yeye amepost tàarifa iliyoripotiwa BBC, suala la ukweli wa habari libaki kwako maana si wewe wala Ayo mlio kwenye tukio.

We ni mtanzania acha tabia hii.
 
Iko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.

Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.

Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.

Mrusi siyo zezeta.
Nchi inaweza ipiga nchi ambayo wananchi hawaitaki Serikali tofauti na hapo ni ngumu itakuwa mchezo wa kuviziana tu
 
Wameshachukuwa mji wa pili kwa ukubwa Ukraine na kwa report kuna vikosi viko ndani ya Kyiv ila hawajaingia full convoy Kama ni Dar basi watu tuseme wako Kibaha sasa ikiwa unaanza kugawa K47 kwa watu na kuzuia watu miaka 18 mpaka 60 kutoondoka ina maana uko katika last defence line.
Mji usharudishwa muda huu
 
Qomamae zake Ukraine amesusa kikao? Haya atawekwa kikaungoni sasa alafu haya mambo ya kucheleweshwa cheleweshwa Ukraine yananiudhi sana. Tummalize before Simba hajamlamba Rebeka jioni
 
Nyie ant russia(wapinga kristo/majafiri) baada ya Karkiv mnajua tunaenda mji gani?...... Mungu anasema "utakapoona makundi kwa makunndi wanaingia katika nchi yangu,basi nawe nenda kwa maana ukombozi haupo mbali. Huuu ndio ukombozi yaani USA na freemason wao wanaangamia na nguvu ya Mungu kupitia Urusi
Huo mji usharudishwa Ukraine
 
❗️Ukrainian delegation heads to Gomel for negotiations with the Russian side - Interfax citing Belpresscenter

It comes after reports that Belarusian leader Lukashenko spoke to his Ukrainian counterpart in the last hour.
 
View attachment 2132962

Ukraine: We're kicking ass but also please help us!

Ukraine wananifurahisha sana! Vita ina siku 3 kwa 4 wamewaangusha Urusi hivyo! Ok, ni lini watafika Moscow na kuizingira?
Wao hawapeleki vita nje ya mipaka yao ila Belarus ajiangalie mabomu yanatokea kwake ataanza pigwa na yeye
 
Qomamae zake Ukraine amesusa kikao? Haya atawekwa kikaungoni sasa alafu haya mambo ya kucheleweshwa cheleweshwa Ukraine yananiudhi sana. Tummalize before Simba hajamlamba Rebeka jioni
Unafikiri Babu putin anapenda kuchelewesha jasho la mbupu na rupu linamvuja huko yeye na wanajeshi wake
 
⚡️CEASEFIRE TALKS: Ukraine confirms the meeting in Gomel, Belarus - Russian delegation head
 
Hujaelewa Ed. Aliyeomba mazungumzo ni Eukraine. Tukaambiwa anaomba poo maana kazidiwa. Sasa swali likaja kapewa nafasi ya mazumgumzo halafu anagoma tena? Unatoa masharti?
Aliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma kufanyia Belarus...anataka sehem nyingine.. deadline aliyoitoa Russia ndo imeexpire saa moja lililopita..maana yake Sasa Russia hahitaji mazungumzo tena Bali kuondoa madarakan utawala wa zelensky...
 
Back
Top Bottom