LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Aliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma.......
Mpaka hapa tumeelewana kuwa amegoma. Hayo maombi mengine si yale ni mapya. Huenda ni war technique tu hataki mazungumzo. Russia amalizie tu kilichompeleka.
 
Wakati rais wenu akiwa polini,huku mke wa Putin yuleeee kwenye benz nyeupe anatoka supermarket hapa na hana wasi wasi. Mniambie na madam ukraine wenu anahamu hata ya qukunwa?
 
Reactions: Tsh
Hujaelewa mzee, sasa wao hawana access na simu wanapataje video. Wao wanatumia radio call kuwasiliana picha hawapati au hujaelewa??
 
Muwe mnasikiliza vizur... Ukraine haijakataa mazungumzo Bali imekataa sehem ya kufanyia mazungumzo....
Watu humu ndugu kila mtu anajua kila kitu km yuko Ukraine sshv anapigana[emoji16]
 
Vita ni kali sana hapa JF, pressure inapanda na kushuka. Vita ni kali kuliko hata kwenye real ground pale Ukraine. Watanzania twendeni mdogo mdogo
 
Reactions: Tsh
Huna tofauti na wale wafuasi wa mfalme zumaridi period yaani nimepata mashaka na reasoning yako!
 
Hajagoma, amekataa eneo la mazungumzo, ameoamba mkutano ufanyike Neutral ground. Usichoelewa nini??
 
Africa yote?wakubali huu upupu wa putin?!sidhani! Mmh ,jisemee wewe mkuu!
Watu hatupendi vita SBB wanaoangamia hawana hatia
 
Hajagoma, amekataa eneo la mazungumzo, ameoamba mkutano ufanyike Neutral ground. Usichoelewa nini??
Nisichoelewa ni kwann agomee maelekezo ya mbabe wake na yeye kumpa masharti wakati yeye ndo aliomba asikilizwe na kazidiwa.

Russia amalizie tu kilichompeleka maana hapa sasa yataanza maigizo ya mazungumzo alipochagua huyu kuna baridi twendeni kwenye joto n.k
Unless kama russia anataka sababu ya kusitisha mapambano
 
Mji usharudi mikononi mwa Ukraine... [emoji3]
 

Attachments

  • Screenshot_20220227-152116.jpg
    33.7 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…