LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wamekubali kwenda BELARUS mazungumzo yanaanza
 
Mji usharudi mikononi mwa Ukraine... [emoji3]View attachment 2133059
Putin anafeli wapi huyu kiukraine kinamtoa jasho la mbupu ndo atawaweza nato akiwa na baba yao USA ndo maana analialia hataki nchi zaidi ziingie nato maana anajua ataisha mapema halaf eti ndo ana ndoto za kurudisha soviet union atabaki na ndoto hiyo mpaka anakufa
 
Wamekubali na wamesogea Belarus
 
Reactions: Tsh
Vita ni kali sana hapa JF, pressure inapanda na kushuka. Vita ni kali kuliko hata kwenye real ground pale Ukraine. Watanzania twendeni mdogo mdogo
Yaani ile Ukraine ipo humu. Na mipango yote na mikakati naona wapo wana JF humu wanatoa matamko kwa niaba ya Russia na Ukraine. Wanatujulisha hata yatakayofanyika Keshi.

Ninahisi ofisi kuu ya hii vita ipo humu.

M'bongo anastahili Shikamoo kwa Ujuaji
 
Trust me Putin hatoboi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…