Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka sasa hakuna mkoa salama Ukraine, na bahati nzuri Putin ni muungwana sana yule baba, anastahili tuzo ya amani ya Nobel. Mpaka sasa amejizuia kupiga raia na makazi. Akiona wanajeshi au wanamgambo wanajichanganya na raia anomba waondoke kisha anaripua.

Hakika rais huyu mpole sana kutokea duniani ni baraka kwa urusi. Kila wakitaka kumpaka matope wanashindwa, wameenda kwenye vikwazo wameshindwa, huyu ni malaika sio mtu wa kawaida.
 
In army it is known or referred to as 'fools courage'
 
Dunia ya leo ni dunia ya biashara. Serikali inatakiwa ilinde watu wake na bidhaa kutoka nje, na si wafanyabiashara ndo wawalinde. Hayo madawa na ma p2 ni miradi ya wafanyabiashara wakiwemo wazawa.

Mfano hai ambao nimeshashuhudia wakati naanza maisha ya ajira miaka ya nyuma kidogo. CFO alishirikiana na dpt ya procurement na supplier wakanunua shehena ya dawa za mimea ambazo zinaexpire soon kwa bei cheap, ni vile taasisi ilikuwa vizuri baada ya mzigo kuingia wakati wa kuzisambaza wakajua ndani ya muda unaexpire ikabidi utaratibu mwingine ufuatwe kutatua tatizo.

Lakini hapo mtu keshaweka mfukoni Bilioni yake hata ukimfukuza kazi hana cha kupoteza, Sasa hayo ni madawa ya mimea, imagine mwanasiasa mwenye nguvu ana mzigo wake wa P2 zinakaribia kuexpire yeye akazitaka kwa bei ya kutupa huko nje kwa kuwalaghai kuwa ana soko na mzigo utaisha ndani ya muda kabla hujaexpire akapewa akileta mkapata makansa sera za uzazi wa mpango zitalaumiwa au wasimamizi wa nini watanzania watumie na nn wasitumie ndo wakulaumiwa?
 
πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡Ίβš‘The official representative of the Ukrainian Ministry of Defense said that for the first time since the beginning of the operation, Russia used Tu-22M3 long-range bombers. The bombing hit the Nazis who had settled on the Mariupol "Azovstal".

The use of these bombers is a bad sign for Ukraine. The fact is that the height of the Tu-22M3 is so high that all kinds of stingers and other NATO gifts simply cannot get them. And thanks to the electronic warfare systems on bombers, it is difficult to hit them even with S-300s and BUKs.
 

Attachments

  • VID_20220418_203141_922.mp4
    515.3 KB
Bwana una kipaji kweli! . kuchagua takataka kutoka Marekani na kuimwaga hapa!
Hal Turner !!
Ukipenda kuteua hao marafiki wa Trump, je unajua jinsi wanavyokutazama wewe? Kama ni Mtrump-Kiungwana, anakuona kama "nice boy from that shithole country. Kenya or whatever it is called..". Kama ni Mtrump mshenzi atakutazama kama nusu-sokwe, maana hapendi hao weusi hata wakijua kupanda baisikeli.
Pamoja na mengine uliyoleta kutoka watu hao - kweli huelewi??
 
Jamaa anaongea ili ajifurahishe, maana hata marekani walipovamia Iraq kipindi wamechukua full control lakini bado Askari wa marekani waliuawa na Askari masalia waliobaki wamejificha ndiyo kinachoendelea
Kuna mchambuzi mmoja hivi wa Panama, aikuwa anasema kwa Support anayopata Ukraine, kwa wingi wa silaha anazopewa Ukraine, kwa Idadi ya Mercenaries wanaopelekwa Ukraine. Lau ka Iraqi angepata walau 1 ya 10 ya hizo silaha "wangemjambisha" mno US...

Na akasema pia lau ka US ndio angekuwa apigana na Ukraine basi mji ungekuwa majivu zaidi ya ulivo, akatoa mfano wa Yugoslavia walivokimbilia kulipua bila kujali Raia...

Akawa anasema just look, Russians haven't utilised even 10% of their military power but "Sponsors" washaanza kuishiwa silaha za kupeleka UKRAINE.

Anadai Ukraine inalishwa silaha mara dufu zaidi ya inavyotangazwa kwenye media lakini bado hawajaweza kumrudisha Russia nyuma.

Akadai zaidi kua Russia anajua hawezi shindana na western kwenye "Information War" kaacha wao waendelee na Propaganda zao ilhali hali halisi uwanjani wao wenywe na Zelensky wao wanaifaham.

Akawa anasema MSM should stop lying to the people, waongee ukweli na watafute suluhu ya huu mzozo kidplomasia.

Katika maelezo yake yote nilipenda kauli aliyomalizia... Eti Russia is too STRONG but HUMBLE
 
Ndio maana tunasema Urusi wadhaifu, mara watishie kulipua nuklia. Hatimaye tunashuhudia mbinu ya hovyo kabisa ,kuteketeza nyumba ili kumshinda adui.
Hivi unazijua fomla za vita au unaongea tu?
Unapo kuwa vitani ukisha zidiwa na adui yako unakuwa na machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa sasa kama wao wamechagua kufa ulitaka wasaidiweje?

Ulitaka wabembelezwe ? Kama ni kweli wameuawa basi kifo wamejitakia kwa sababu Urusi imewapa nafasi ya kutosha ya kujisalimisha wamegoma.
 
Vitani ukishazidiwa na adui kujisalimisha ni kuzuri zaidi kuliko kufa.
 
Unajuaje Kama wamekufa...pengine wamechimba mtaro chini kwa chini hata chini ya bahari na kutokea mahali salamaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ wale ni azov bwana ...insignia za NAZI au tatoo Kama zote mwilini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…