Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu punguza hasira , kwanza bado hakuna udhibitisho ya kwamba Urusi imesha wauwa au bado.

Kingine nimesha kwambia wanajeshi kujisalimisha vitani baada ya kuzidiwa ni kitu cha kawaida wapo wanajeshi wengi wa Ukraine wamejisalimisha baada ya kuzidiwa kwahiyo hao ni waoga au wasaliti wa nchi yao?
 
Haabr nzur Kama hii ningependa kuiona BBC,cnn, aljazeera na wengineo.

Bahat mbaya najua hawawezi kuirusha[emoji4]
 
Warusi bado wanadhibiti Mariupol hadi mtu anaweza kurusha meseji anavyotaka?
Mpumbavu wa pekee ni yule aliyetangaza tangu wiki kwamba "Mariupol imeshatekwa na Urusi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…