Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndiyo,ni muda huu.

Mashariki yote ya Ukraine inashambuliwa kwa kasi ya kutisha hasa eneo lote la mapambano.

Russia awamu hii kadhamilia/kadhamiria.
Mashariki yote ya Ukraine kiongozi wa majeshi yote angani na ardhini urusi na chechens kakabidhiwa mikoba RAMZAN KADYROV, kamanda wa chechens

Unategemea Nini Sasa mkuu[emoji4]
 
Russia's Defence Minister Sergei Shoigu has claimed the US and other Western countries are "doing everything to drag out Russia's military operation in Ukraine".

Shoigu says the increasing volume of foreign arms supplies to Ukraine "clearly demonstrates their intentions to provoke the Kyiv regime to fight to the last Ukrainian standing".
 
yule jenerali mpya aliyewahi kupigana Syria kaja na moto kwelikweli yeye haangalia hathari za historian mbaya kubaki huko Ukraine anachotaka ni kumaliza hiyo operation haraka hata kabla ya may 9 ili mbabe Putin awe na cha kuzungumza
Na kakabidhiwa uongozi wa vikosi vyote vilivyo mashariki mwa Ukraine,

Anatembeza Kichapo balaa
 
hiyo misaada ya kiraia iliwaponza wakazi wa bucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…