Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ukitizama namna EU countries wanavyopelekwa pelekwa na Washington, vile namna US anavojiamulia tu kila idara kwenye mambo yao haikupi kigugumizi kusema EU ni Colony la US.
Kwa sababu Saddam Hussein alikuwa ni "murderous dictator", aliwauwa sana Wakurdi na Washia, alikuwa anavamia Jirani zake Kuwait na Iran kwa sababu zile zile Putin alizozitumia kuivamia Ukraine. Alilifanya eneo la Gulf kuwa kwenye tension muda wote. Dictator mharibifu kama yule na wengine wanapaswa kuondolewa kwa sababu zozote zile zinazoweza kutumika.
It was good riddance.
Hawakuweza... hawawezi na kamwe hawataweza, Russia yuko decade ahead of NATO kwenye military power...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia iko kwenye self-defense. Ukraine ni kichaka Cha NATO na West katika njama za kuitaka kuiangamiza Russia. Ukraine inatumika kama front au launching pad ya USA, NATO na nchi za West dhidi ya Russia.
Uko umeenda mbali... Iraqi alivamiwa kwa speculation kua anazo WMD... Weapons of Mass Destruction. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakampiga weee kisha wakamnyonga mzee wa watu bure...Nioneshe mahala ambako Russia alitumia Nyuklia.
Nchi pekee Duniani iliyowahi tumia Nyuklia, inajidai inajali sana kuhusu Nukes
Hawakuweza... hawawezi na kamwe hawataweza, Russia yuko decade ahead of NATO kwenye military power...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia are Powerful yet wako humble hawana shida na mtu [emoji847] ila yule Kenge w Blue anavuka Atlantic yote kwenda kuzua ***** ***** mashariki ya kati na kuweka vijisilaha vyake kibarazan kwa mwenzie...View attachment 2193742Em fikiria hizo dot zote unazoziona hapo ni Base za US hapo hujazungumzia wanajesh wake waliopo maeneo ambayo yeye hajaweka base.
A country with millitary presence in over 130 Countries, nchi pekee inayoongoza kwa uvamizi duniani kuna pimbi mmoja uko eti anasem NATO ni defensive alliance... He is nutty ASF
Imagine a world where instead of the US empire funding military bases around the globe we had 800 centers of cross-cultural cooperation designed to cultivate the best ideas in #Climate resilience, civic engagement & sustainable innovation?
Hawa wenzetu sijui huwa wanaitazama dunia kutokea shimo gani.
Wangese sana hawa [emoji1787]... Af ukiyakuta kwenye kauli zao wako wazi kabisa wanajisema na kujiita World leaders...Their Presidents are just governors reporting to their President in the US. In other words Europe is just another state of America. Stupidity [emoji706][emoji706]
Ungesoma vizuri swali langu ..ungejua nimemuuliza PRONATOAMERICA..... ndio maana nimemuuliza "SAWA tumewasikia , mtuambie hiyo mnayoita vita (wao maNATO) inaendeleaje .... Usiwajibie bwana mkubwa...Sio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.
Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.
Walivyoingia mara ya pili walishitakiwa wapi ...!!?? Ulisikia kauli ya White house na pentagon Baada ya ICC kutaka kuanza uchunguzi!!? Nini kilitokea !!? Mkae Kwa utulivu .... Walivyokuja kukiri kwamba intelligence yao iliwadanganya hatua Gani zilichukuliwa!!??Mara ya kwanza waliingia kwa haki baada ya Saddam kuvamia Kuweit. Umoja wa Mataifa uliidhinisha.
Mara ya pili walivunja sheria ya kimataifa na kugushi sababu ya silaha kali.
Ujifunze kutofautisha!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekupata mkuuUngesoma vizuri swali langu ..ungejua nimemuuliza PRONATOAMERICA..... ndio maana nimemuuliza "SAWA tumewasikia , mtuambie hiyo mnayoita vita (wao maNATO) inaendeleaje .... Usiwajibie bwana mkubwa...
Unaona sasa ulivyo mwehu ... Wewe unajinasibu mwerevu na bado unatumia maneno yasiyo na staha ...mpumbavu sana wewe .... Nimekuuliza Uingereza WAMEWEKA VIKWAZO Kwa viongozi Gani !!?? Nikurahisishie ukiondoa viongozi wa Urusi na Belarus . Uingereza imeweka vikwazo Kwa viongozi wa nchi Gani !!?? Na waliwaitaje kwenye bill yao ya sanctions hao viongozi wa LPR na DPR!!?? .... ukishindwa pita hivi usiniletee mavimavi.Huwa unapenda kuuliza maswali tu kama mtu anayejua sana ili kuficha ujinga wako, ni mkakati mzuri lakini wa kitoto uki overdo.
Ukikemea wewe inatosha...hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?
Ngoja tuinywe wote dawa alioitengeneza mrusi hapo ukraine iwe pro NATO or Pro Russia btw ni bando langu naposti ninachoona kwangu kinafaa