Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu wa kimataifa habarini

Tuliaminishwa Russia ni super power je hichi kilicho kwenye macho yetu ni kitu gani hasa., kwamba Russia hakutegemea hii waitayo operation? lakini walisema wanaingia na Phase II je tuseme ile Phase one walishindwa kwa sababu hawakuwa na jeshi la kutosha ama inakuwaje. Tunaambiwa Moriopol ipo under Russia sasaiv je ni baada ya hawa mamluki kutua na kuja kuisaidia Russia na Putin?



 
Acha kuwavunjia heshima hawa watu walisha itoa makamasi Urusi sema tu walikosa msaada wa silaha kama anao pata Ukrain.
 
Jomba mnamskia tena huyu mshauri wa Zele Boy anachokisema [emoji848]
Your browser is not able to display this video.

Kwamba "The idea of Ukraine, one of the central national ideas of Ukraine, is to lie to yourself and other people as much as possible. Because if you tell the truth, everything will collapse. And then you have to come up with something else."
 
Kwa hiyo Ukraine hakuwa na vifaru?
Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
 
US Fears Ukraine Arms BLACK HOLE - Admits Kiev Information Operation


A US Defense official has reportedly admitted to CNN that the government is struggling to trace exactly where huge shipments of “lethal aid” to Kiev end up, calling their destination a “big black hole”.


The White House has apparently accepted that some arms will fall into unintended hands, as their intelligence services have “almost zero” ability to keep track of them, while admitting the importance of Kiev’s PR campaign.


“Everything [Ukrainian officials] do and say publicly is designed to help them win the war,” a source told the network. “Every interview, every Zelensky appearance broadcast is an information operation.”
 
Kwa hiyo Urusi ni member wa ICC /court!!?? Ama haujui kwamba Urusi sio member wa ICC kama alivyo Marekani na China !!?? Kama Marekani sio member na hakushitakiwa , Unamshitakije Urusi ambaye sio member kwenye mahakama hiyohiyo ambayo wengine ambao sio member WALIKATAAA kucomply!??
 
Wameona Zelensky hana la kuwasaidia tena.Wameomba msaada kutoka Vatican na kwa marais wote duniani akiwemo mama Samia.
 
Acha kuwavunjia heshima hawa watu walisha itoa makamasi Urusi sema tu walikosa msaada wa silaha kama anao pata Ukrain.
Kipindi kile wanapigana na Russia walikuwa kama Ukraine walivo hivi leo... aliwahi kueleza namna wa kabla yake walivotumika na western katika kutaka kuigawa Russia.

That's why unawaona wako na urafiki wa kufa kufaana na Putin. Wanapigania motherland yao Russia. Na hiyo kumbukizi nahisi ndio inayowafanya wao kua na uchungu zaidi
 
Marekani aliajiri makundi ya waasi kule Libya, Palestina, Aghanistan nk nk!

Lakini hatukuona wakisema kitu.
 
Mmesha overdo hii ya Urusi sio Zimbabwe, sio Burundi, sio Somalia blah blah blah...
Badilisheni santuri sasa na mfanye mijadala ya kiutu uzima kwa sababu sasa mnakuwa hamna tofauti na huyu wa "inasikitisha sana"
Lete habari za upande wenu UkraiNato ... Achana na Petty issues...lete maendeleo yenu ya kujilinda sisi tutaleta habari za kichapo.
 
Putin katika miaka ya karibuni amekuwa karibu mno na Kadyrov na amefungua misikiti mingi mikubwa ambayo haionekana hata mataifa ya kiarabu.Imesaidia sana kuwavuta wachechen na mataifa ya kiarabu kuwapuuza NATO. na vita vyao visivyokwisha.Yale yalikuwa ni matayarisho ya kisaikolojia kwa kuingia vitani ili kuwazima Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…