President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Njooni mtunguliwe...two days from now zitakuwa hazipo....mark my words
Hivi we jamaa ni mzima kweli?Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
Endelea na mawazo hayo hayo mwananguMkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.
Hatimaye Umefufuka katika wafu.... Karibu tena jukwaani.Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Ndugu yangu nadhani wewe ni mchanga Sana kwenye geo-politics...na kama sivyo Kuna elements za ndani mwako za fanaticism in support of America, NATO and its cronies...Russia siyo wendawazimu kihivyo kuanza tu kuishambulia Ukraine...There are genuine reasons for doing that...Russia is defending itself against the West and particularly NATO and USA ambao wanatumia Ukraine kutaka kuiangamiza Russia..
Marekani wamesema hawaelewi kama kweli silaha zinazotumwa Ukrane kama zinawafikia jeshi la Ukrane, maana kila wakituma Silaha kwenye uwanja wa mapambano hazionekani.Mkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.
Hilo nalo lawezekana, maana kidunia chetu hiki kimejaa illusions za kutosha. Kuhusu Dini naeza sema Russia pako safe. Russia nahisi ndio taifa pekee duniani ambalo limejaa kila aina ya dini chini ya jua. Na wanaheshimiana kila kundi na imani yao huwakuti wakibaguana.Putin katika miaka ya karibuni amekuwa karibu mno na Kadyrov na amefungua misikiti mingi mikubwa ambayo haionekana hata mataifa ya kiarabu.Imesaidia sana kuwavuta wachechen na mataifa ya kiarabu kuwapuuza NATO. na vita vyao visivyokwisha.Yale yalikuwa ni matayarisho ya kisaikolojia kwa kuingia vitani ili kuwazima Ukraine.
Hauna ushaidi ndio maana hatuwezi kukuamini
Sasa Chechens walioivujisha jasho Urusi ndio hawa kina Kadyrov? Wale watukutu sio hawa na hawawezi kubaliwa kuingia jeshini, ndio maana humu nilishasema Russia akishindwa kulinda uchumi wake dhidi ya sanctions kuna vi-regions humo vitaleta matata. Kadyrov ana maadui kwake Chechnya na analindwa na Putin kwa vile wanafaana kwenye maslahi ya kitaifa.Acha kuwavunjia heshima hawa watu walisha itoa makamasi Urusi sema tu walikosa msaada wa silaha kama anao pata Ukrain.
Labda Kuna ufisadi.Marekani wamesema hawaelewi kama kweli silaha zinazotumwa Ukrane kama zinawafikia jeshi la Ukrane, maana kila wakituma Silaha kwenye uwanja wa mapambano hazionekani.
Russia ni wapumbafu....ni dhaifu mnooo.Watu wa kimataifa habarini
Tuliaminishwa Russia ni super power je hichi kilicho kwenye macho yetu ni kitu gani hasa., kwamba Russia hakutegemea hii waitayo operation?...
nilikuwa na ignore text za huyo jamaa lakin nikawa naziona zingine, nikaingia kwenye profile yake nikakuta sehem wameandika ignore, aise simuon tena hadi rahaa...😁😁😗kalikuwa kananikeraAsante sana mkuu, umenipa mwarobaini wa hii mbuzi
Mimi nipo sana tu. Nakwepa kuandika mambo marefu ambayo mara nyingi sio direct na hii vita. Mfano kuna muda nimekaa nikafatilia na kujiridhisha kwa sasa Chinese navy inaizidi Russian navy kwenye technology, capabilities, quantity na quality ya surface combatants.Hatimaye Umefufuka katika wafu.... Karibu tena jukwaani.
Et alipigwa kwa kustukizwa unazani hizo ni ngumi za bar haya rudi Facebook haraka SanaAlipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
ana bore kishenziAsante sana mkuu, umenipa mwarobaini wa hii mbuzi
Kadyrovites sio wapiganaji wa kuaminia hata kidogo. Kwenye siege ngumu ngumu wao hawapigani maeneo makali. Proportion yenye Tiktok accounts wengi ni wao, kwanza hazipandi sana na Federal troops ndio maana mara nyingi hawawi pamoja. Wao wanasubiri mpigane waje kurekodi kupost mitandaoni.Hao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]
Ninaweza kukubaliana na ww kuhusu mengine lakini hili la kuharibu miji hakuna bingwa wa kupigana vita bila ya uharibifu wa mji labda mpiganie msituni.Sasa Chechens walioivujisha jasho Urusi ndio hawa kina Kadyrov? Wale watukutu sio hawa na hawawezi kubaliwa kuingia jeshini, ndio maana humu nilishasema Russia akishindwa kulinda uchumi wake dhidi ya sanctions kuna vi-regions humo vitaleta matata. Kadyrov ana maadui kwake Chechnya na analindwa na Putin kwa vile wanafaana kwenye maslahi ya kitaifa.
Chechens walilifanya jeshi la Urusi lionekane na kasoro. Baadae 2008 pale Georgia Russia ikaonekana jeshi lake bado haliko sawasawa. Ndio maana wakakimbilia kufanya carpet bombing mji. Ukraine aliomba no fly zone kwa sababu hii Russia wakishindwa chini hupiga miji ovyo kutokea angani, wao wana allergy na smart munitions.
Anatoly Serdyukov aliyekuwa Defence Minister kabla ya Shoigu alifanya mabadiliko makubwa sana kwa Russia na akagombana na oligarchies wengi hata hakudumu kwenye cheo kile. Alileta mageuzi ya haraka na alikuwa smart, yule kazoea kuongoza corporates Putin akamuamishia Rostec ndio hapa wanasaidia modifications za hizi Su na Mig. Shoigu alikuja kuendeleza reforms ambazo zimepimwa Syria na sasa Ukraine
Chechnya hatari SanaKadyrovites sio wapiganaji wa kuaminia hata kidogo. Kwenye siege ngumu ngumu wao hawapigani maeneo makali. Proportion yenye Tiktok accounts wengi ni wao, kwanza hazipandi sana na Federal troops ndio maana mara nyingi hawawi pamoja. Wao wanasubiri mpigane waje kurekodi kupost mitandaoni.
Pale Mariupol wapo % chache kati ya wanajeshi wa Russia wanaopigana. Ni kama wengine wanavyokosea kwamba Azov battalion pekee ndio wanapigana Mariupol wakati kuna vikosi vingine ambavyo ndio wengi. Kadyrovites wenyewe hawakuja wengi wakipata casualties kubwa ni political disaster kule kwao