Hata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.Mimi nipo sana tu. Nakwepa kuandika mambo marefu ambayo mara nyingi sio direct na hii vita. Mfano kuna muda nimekaa nikafatilia na kujiridhisha kwa sasa Chinese navy inaizidi Russian navy kwenye technology, capabilities, quantity na quality ya surface combatants.
Nacholenga ni different perspectives
NATO ndo wakapigane na nchi kama hii?Hili bomu likipigwa si linaangamiza Dunia nzima[emoji848]
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji na uongo yaani jiji muhimu kwa Uchumi wa Ukraine kama Maliopol lilindwe na wanajeshi 5000 uko siliasi kweli ww?Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Hizi namba ni kwa mujibu wako au?Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Wewe jamaa ni katuni sana!Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Huyo jamaa ni katuni sana!Hizi namba ni kwa mujibu wako au?
Denazification ni porojo tu? Basi hao Chenchens wanafanya porojo kupita Nyumba by Nyumba ( Hawa ni waliopo Vijiji vya Donetsk) ambako yupo pia Magomed Tushaev, ni video ngapi za hawa mabwana umeziona?
Video zilizopo nyingi ni kutoka Mauripol, ambako Chenchen ni Echolon force hivyo hawana Enemy contact kubwa kama ilivyo kwa DPR forces ambao ni main forces, na Russian unit zingine pia wagner group wengi wapo huku.
Zipo front Nyingi na kila front ina units zake na kazi zake na aina ya enemy anayekutana nae, Fuatilia taarifa sio kuanza kusema tu kuwa Neo nazi ni 200 tu....
Ebu fungua medula mzee na wewe tujue yaliyomo kwa MEDULA yakoKila mtu anajua kivyake....
Israel mbali sana huko,hata sisi tunamzidi kwa kila Kitu si unajua Kwanza jeshi lake liliishiwa hadi chakula.Hata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.
Huyo jamaa ni katuni sana!
Sikutaka kumjibu ila nimeamua kumjibu. Anaandika uongo sana halafu kwa kujiamini.
Akisha google na You tube pia anakuja kwa kasi ya mwendokasi wa mwanga na kujiona ameshajua kila kitu.
Hiyo Israel si azifikie kwanza Iran na Uturuki tu kabla hajaanza kuiwaza Urusi.Hata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.
Aseee Wanakula Kichapo cha hatari wanalia kama paka shumePutin alipobadilisha Generali wa vita vya Ukraine watu walibeza, sasa hivi hawaamini kichapo wanachopata
Chenchens ni Tiktok warriors...anakwambia.Huyo jamaa ni katuni sana!
Sikutaka kumjibu ila nimeamua kumjibu. Anaandika uongo sana halafu kwa kujiamini.
Akisha google na You tube pia anakuja kwa kasi ya mwendokasi wa mwanga na kujiona ameshajua kila kitu.
atakoma huyu lazma wamfuate na novichokMrusi tajir aliandika kwenye akaunti yake ya Twita:
“I don’t see a SINGLE beneficiary of this mad war!” wrote the outspoken businessman Oleg Tinkov in a statement on Tuesday. “Innocent people and soldiers are being killed. Generals have woken up from their hangover to understand they have a shit army. And why would the army be good, if everything else in the country is shit and rife with nepotism, lackyism, and servility?
“Dear ‘collective west’, please give Mr Putin a clear exit to save his face and stop this massacre.”
Russia’s latest military failures polarise society even more
War critics grow increasingly vocal while state media fuels hatred for the westwww.theguardian.com
Utakua Ni kujitia kitanzi wenyewe[emoji848]NATO ndo wakapigane na nchi kama hii?
Kwa ajili ya " zilinski"?
Mabeberu lazima wajambeRussia imeingiza mzigo mpya wa kombora la nyuklia 'Sarmat' ambalo halina mfanano na halitakuwa na mfanano kwa miaka mingi ktk Ulimwengu huu. Pia hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga Duniani unaoweza kulidungua.
Putin anasema ingizo hilo jipya la kombora la Sarmat ktk hifadhi ya silaha za Russia litazifanya nchi mahasimu wa Russia kutafakari marambili mbili...na pia litazidi kuhakikishia usalama wa nchi ya Russia
View attachment 2194730View attachment 2194731
Hata Rais Zelensky anakubaliana na wewe.Kuwa sasa hawana silaha tena,Zile picha za vifaru vilivyochakazwa vingi ni vya Ukraine.Russia aendelea kuipa kichapo Ukraine, yaua wanajeshi 40 wa Ukraine na kuangamiza aseti 1,053 za majeshi ya Ukraine
Majeshi ya Russia yamewapeleka wanajeshi 40 wa Ukraine kwenye ufalme wa Bwana, wakahukumiwe...pia majeshi hayo ya Russia yameshambulia nakuangamiza asseti 1,053 za majeshi ya Ukraine...miongoni mwa vilivyoharibiwa ni vifaru 6, magarivita 9, na howitzer 1, drone 6, maghala 6 ya mafuta, na miundombinu 106 ya kurusha mizinga.
Toka operesheni hiyo ya kijeshi kuanza, jumla ya ndegevita za Ukraine 140, drones 496, mifumo ya ulinzi wa anga 253 na vifaru/magarivita 2,388 vimeshateketezwa na majeshi ya Russia.
View attachment 2194383View attachment 2194384View attachment 2194386
Wana option ya ku sarrender waache kibri