Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye huu uzi 90% ya post zote ni za muanzisha uzi [emoji1787]...
 
Hakuna bomu kama hilio, acheni kujidanya.
Kwa technolojia ya leo inawezekana kabisa nchi ikawa na silaha ambayo ikauwa binadamu wote. Si lazima iwe ya kuharibu ardhi, hata kirusi tu kikapigwa kwenye anga huko kianze kusambaa.
EBOLA tu ikisambaa inasumbua sasa wakitaka isambae dunia nzima si wanatafuta vibebeo tu na vilipuzi vya kusambaza? Sisi tubishane tu kujaza server ila katika uhalisia hatujui nani ana nini na ina uwezo wa kufanya nini mpaka siku litakapotokea la kutokea.
 
Kumbe mnaficha source zenu za kujitetea mnachomoa vimistari vichache. Nimeleta Aljazeera maana source nyingine mnaita propaganda. Chechens ni washika camera zaidi ya kuwa wapiganaji, ukiwa mfuatiliaji hautotumia akili nyingi kujua hili
 
Yuko Urusi huyo Oligarch na muda sio mrefu Putin atakula kichwa chake.

Mikhail Khodorkovsky, Bilionea namba moja wa Russia mwaka 2005 aliishia gerezani na utajiri wake wote kukombwa baada ya kutaka kumchelenji Putin kwenye Urais.
Sidhani, asingeandika hivyo kama angekaa Urusi. Nahisi yuko nje.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Wee jamaa
 
Hi balaa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Nyerere, Kenyatta, Kaunda, hawakuuwawa?

Nkrumah alikuwa dikteta mjamaa, Jeshi la Ghana lilifanya vyema kumuondoa madarakani mapema kabla hajahiribu nchi.
Walikoswa mara ngapi kuuawa?????
Marekani na west wanatangaza democracy walipomuua Lumumba wakamuweka Mobutu demokrasia gani ambayo Mobutu akifanya?????, Na west walisema ninj kuhusu democrai?????
Halafu aliyesema kuwa walikuwa wanawaua viongozi Siyo Mimi ni marekani
 
Mbona this time ukraine imepata wenge sana khs wale jamaa walioko kule kiwandani,Kuna jambo wanalificha ficha Ila litajulikana tu.
 

Natamani sana NATO waingie Mariupol tujionee ka 3rd world war hapo kwa ufupi, ingawa najua NATO hawawezi kutokea eneo la tukio.NATO-NO ACTION TALK ONLY.
 
Summary of the situation in Ukraine. What is known by the morning of April 21:

✔️The G7 countries expect that the amount of assistance to Ukraine will exceed $24 billion. They also promised to increase pressure on Russia because of the situation in Ukraine.

✔️ Turkish Foreign Minister Mevlut Cavusoglu called China a superpower capable of turning the tide of events in Ukraine if it takes sides.

✔️The Azovstal plant in Mariupol on Thursday will completely pass under the control of the Russian Armed Forces - Chechen leader Kadyrov.

✔️The authorities of Ukraine did not receive aircraft from other countries as military assistance, only spare parts were sent to Kiev - the Pentagon.

✔️The Chinese leadership does not accept unilateral sanctions and does not intend to follow double standards in resolving international issues - PRC President Jinping.

✔️UN and cooperating organizations delivered humanitarian aid to more than 2.5 million people in Ukraine - UN Secretary General Guterres.

✔️India refused to accept the plane of the Japan Self-Defense Forces with a cargo of aid to Ukraine - Kyodo.

✔️The American company Procter & Gamble announced a possible withdrawal from the Russian market due to sanctions, financial restrictions and supply problems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…