Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wananchi wa Russia hawawezi kutumia Twitter, Facebook na Instagram tangu vita vimeanza. Wamefungiwa rasmi na serikali yao, sio kimyakimya kama alivyofanya jiwe wakati wa uchaguzi mwaka juzi.
Lengo la zile picha ni kuwatia hasira wazazi na wananchi wa Russia wachukie operation kwa gharama ya kuwaumiza wapendwa wao. Si kweli picha za watu waliokufa vitani ni za kusambaza.
 
Wananchi wa Russia hawawezi kutumia Twitter, Facebook na Instagram tangu vita vimeanza. Wamefungiwa rasmi na serikali yao, sio kimyakimya kama alivyofanya jiwe wakati wa uchaguzi mwaka juzi.
Unaamini wana akili kama zako za kupata details za Generals wa Ukraine waliokufa na kuwarusha kwenye mitandao ya kijamii. Kwa taarifa yako una tatizo huwezi ukasema unaona ni kitu cha kawaida. Unahitaji daktari mapemq sana.
Telegram ipo mbona hatuoni
 
Wewe mtoto katika sheria za kimataifa za vita kurusha picha za watu waliokufa vitani sio kosa, projo zako kawadanganye nazo waswahili kijiweni kwako.
Na hii ni nzuri sana kuwaonyesha wazazi wao kile vijana wao walichokipata walipoenda kuua, kubaka na kufanya uporaji kwa majirani zao.
Unaamini wana akili kama zako za kupata details za Generals wa Ukraine waliokufa na kuwarusha kwenye mitandao ya kijamii. Kwa taarifa yako una tatizo huwezi ukasema unaona ni kitu cha kawaida. Unahitaji daktari mapemq sana.
Telegram ipo mbona hatuoni
 
Hujui unachoshabikia, haya ndio matatizo ya kutazama kila jambo kama ushabiki ya Yanga na Simba.
 
Inaonekana una akili timamu ila unajifanya umechanganyikwa.
Mercenaries wanakodiwa kwa pesa,
Volunteers wanajitolea kwa hiari Yao,

Yote kwa yote wote Ni Mamluki Maana kwenye uwanja wa kivita Ni ngumu kujua yupi amekodiwa analipwa, yupi anajitolea bure
 
Walitegemea waone maiti zao zimezagaa kill mahali Ili waamini wanapigana?

Kisha baadae waje waseme mbona hawana uwezo wowote, maiti zao zimetapakaa[emoji4]
 
Cha kushangaza,
Hao chechens ndo wanawahenyesha mno Ukrainians pale mariupol na kherson mpk wamejichimbia kwenye mahandaki[emoji4]
 
Russia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
Hadi sasa Urusi kashindwa vita na hii vita itampa hasara kubwa
 
Your browser is not able to display this video.

“Dear Vladimir Vladimirovich, Mariupol has been liberated by the armed forces of the Russian Federation and the people’s militia of the DPR. The remnants of nationalist formations took refuge in the industrial zone of the Azovstal plant: Shoigu reported to Putin about the liberation of Mariupol.
 
Russian Defense Minister Sergei Shoigu reported to Vladimir Putin that Mariupol has been taken under the full control of the Russian Armed Forces.

More than 2,000 militants are now blocked in Azovstal, about 1,500 have already surrendered.

At the time of the encirclement of the city there were more than 8,000 Ukrainian military and foreign mercenaries, the minister said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…