Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waafrika tunaenda kujikomboa sasa.


'' Nchi ya MALI imekubaliana kuondoa Operesheni ya Barkhane inayosimamiwa na vikosi vya jeshi la Ufaransa nchini humo kwa kupambana na makundi ya wanajihadi , wakati huohuo Serikali ya Mali ikitengeneza uhusiano mpya na nchi ya Urusi na kupewa vifaa vya kijeshi ''.

Source DW swahili.
 
Mungu awasamehe, hamjui mlitendalo.
Akishakukusamehe wewe tu inatosha
MADIKTETA popote walipo ulimwenguni wanatakiwa wallindwe kwaudi nauvumba wapatikane kama khamsini hv wakina Xi jin ping wakina Kiduku
Nakuongezea UKRAINE inatakiwa ipondwe pondwe yoote mpaka iishe tena ipondwe kwel kwel
 
Sawa
 
Sawa
 
Shukran nimekuelewa ila ntaifatilia vyema
 
Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
 
The US has handed Ukrainian troops an extra lifeline with the provision of its"kamikaze" drones, which are able to target enemy tanks and artillery positions from as far as 25 miles away. The US President has pledged to send 100 of the "Switchblade devices, which Mr Biden claims will give the Ukrainian forces "unprecedented assistance
 
Sawa
 
Zile walizowapa awali ziko wapi !!!?? ......
 
Ssfi
Jamaa watashuhudia amani mapema sana wakiachana na hao wapuuzi nakuegemea kwawapenda amani RUSSIA
 
Piga na wewe mikwara PIMBI....
Alafu urussi alivyokua mchumba aliwataarifu Pentagon kabla majaribio, hii inanikumbusha Iran walipowapatia taarifa kabla kulipua kambi zao Iraq.
Yaani Iran generali wao auliwe alafu bado wanatoa taarifa za mashambulizi kabla kuzifanya. Kweli Marekani anaogopewa
 
Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
DeepPond hivi ndo namaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…