Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndo maana nimekwambia ntaanza kukuitisha karo, unatka Ukraine wakubadili wamepokea silaha ndo ili adui atume makombora. America operates in secrecy, hata Pakistan hawakujua ndege za Navy Seals ziko nchini mwao kumuua Osama.
Level ya Urusi siyo ya Pakistan. Hizo ndege za USA unazozisema hata IRAN tu hazitio pua.
 
Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
Kuna ule msemo wanasema Adui wa adui yako ni rafiki yako. India na China wana ka utofauti ila sio kakubwa kutisha ka ilivo kwa US na Russia...

India na China wana adui wa pa1 nae ni yule anayevuka Atlantic kuleta chokochoko mashariki ya kati na Asia...

Ka unafatilia mengi angalia kinachofanyika sa hivi...

[emoji298]US baada ya kushindwa kumshawishi China kuungana nae kumpiga Vita Russia kaamua kumchokoza kupitia Taiwan...

[emoji298]Pakistan chini ya PM Imran Khan aligomea hiyo issue ya vikwazo, chap akafanyiwa figisu akaondolewa madarakani. Akapachikwa PM mpya... Na sasa Congresses kutoka US wameanza kutia miguu happ Pakistan... Lengo haswa n nn kumchokoza India.

So utaona Pakistan imekuwa ikitumika kama fimbo ya India na vile vile Taiwan kwa China.

Hawa jamaa wanaeza wakawa na utofauti kiasi ila wana common enermy wa kupigana nae...

After all, China na India maslah yao wanayatanguliza mbele kuliko kitu chochote kile. Ndani ya BRICS kila kitu kinaezekana ukizingatia ule umoja waliouonesha kipindi hiki ambacho kwao ni kiguuuuumuuuuu...
 
Your browser is not able to display this video.


The residents of Donetsk greet the fighters of the "Somalia" battalion from Mariupol with shouts of "Hurrah!"

Soldiers of the "Somalia" battalion marched victoriously to Donetsk, where they were greeted with flowers and flags. The guys successfully completed the tasks of liberating the city from Ukrainian nationalists, playing a key role in the offensive operation of the NM DPR and the RF Armed Forces.

Well done💪
 
Briefing of the Russian Ministry of Defense (21.04.2022)

◽️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

◽️ During the day, high-precision air-launched missiles attacked 14 objects of the Armed Forces of Ukraine. As a result of strikes in the area of the settlement of POPASNAYA, the following were hit: a command post, two ammunition depots, two areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment, as well as two strongholds of nationalists.

◽️ In the settlements of SHURKI and SLAVYANSK, ammunition depots were destroyed, and the manpower and equipment of the Armed Forces of Ukraine were defeated in the areas of CHERKASSKOE and ALEKSANDROVKA. Up to 120 nationalists were destroyed, as well as more than 30 armored vehicles and vehicles.

◽️ Operational-tactical aviation of the Russian Aerospace Forces hit 64 military facilities of Ukraine during the day. Among them: 17 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment in the areas of RED LYMAN and DROBYSHEVO, as well as two depots of rocket and artillery weapons in the area of the city of ZAPORIZHIA.
◽️ Missile troops and artillery hit 450 enemy targets during the day. Including: 14 control points, as well as 429 strongholds and places of accumulation of manpower and equipment in the settlements of VELIKAYA KAMYSHEVAKHA, CHERVONOE, PASHKOVO, NOVAYA DMITROVKA, Kharkiv region.

◽️ Russian air defense systems destroyed a Ukrainian unmanned aerial vehicle near the village of YASNOE in the Donetsk People's Republic.

◽️ In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 140 aircraft, 106 helicopters, 512 unmanned aerial vehicles, 254 anti-aircraft missile systems, 2422 tanks and other armored combat vehicles, 266 installations of multiple launch rocket systems, 1051 field artillery guns and mortars, as well as 2274 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 
Kabisa punde watageuzwa chakula cha mavumbi !!!!!
 
Habari za mashoga waachie mashoga. HAZITUFAI/HAZITUHUSU/HATUZITAKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…