Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Kikatike mara ngapi? Mbona kishakatika. Tunasubiria full contral tu.Tutakakata haka kanchi .....
View attachment 2196189
Wachumia tumbo tu hao,even History does not prove their claim.Labda watuambie wanaisaidia Russia as a gesture of good will kwa kuwa the NWO Cabal led by Klaus Schwab(WEF) inaionea Urusi.Hapo tutawaelewa.Mamia ya waEthiopia wafurika ubalozi wa Russia nchini Ethiopia wakitaka kujitolea kwenda Ukraine kupigana upande wa Russia...
Wanasema wao ni ndugu na Russia, udugu wao ni wa miaka mingi...lazima wakawanyooshe waUkraine
View attachment 2196435
View attachment 2196436
View attachment 2196439
Kuna mabomu ya vacuum mzee, unakufa kwa kukosa hewa safi.Hiyo banker hata warushe mabomu gani haibomoki kamwe
Samahani ndugu,sitaki kukuita Muongo,inawezekana hujui TU.Hiyo banker hata warushe mabomu gani haibomoki kamwe
Hana akili huyu kila wakati anakuja na jambo jipya!
Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...View attachment 2196378View attachment 2196379View attachment 2196380View attachment 2196381View attachment 2196382jeshi la urusi limeteka kambi nzima huko kharkiv na kukamata siraha nyingi
Hapa Ukraine walipigwaHana akili huyu kila wakati anakuja na jambo jipya!
Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...
Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...
Asante sana Putin
View attachment 2196553
View attachment 2196552
Daah vita si mchezo aisee, kuna mjeda kashuka ktk gari anawapa raia nafikir chakula, wanajeshi tuwaheshimu, kinaponuka wao ndio responsibleKharkiv siku si nyingi nayo tutaitangaza
hujawahi kuwinda wewe!!panya umembana kakimbilia shimoni ,huna haja ya kuingia ndani,we kaa nje kila akitaka kutoa kichwa anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kichwa ndani,mwishoni atatoa kichwa Tena kwa kukata tamaa ya kuishi na akiwa hoi kwa njaa na kiu,Sasa hapo hupigi bullets ,muache atoke halafu unakwenda kumdaka kwa mikono ,halafu utachagua nn Cha kumfanya !!!! hiyo battlerion iliyo jichimbia mashimoni itaomba poo yenyewe ,wababe wako nje wanapunga upepo,wakimaubiri panya wao ajilete mwenyewe nje !!Kwani mmeshinda nini? Mariupol penyewe hadi sasa mmeshindwa zama ground
Yeah sure na kitu kizito kwa nyumaHapa Ukraine walipigwa
hii kitu asikwambie kitu,ukiwekewa seal the zone!! Ebwana we mnaweza mkaanza kukatana makalio na kula nyama za makalio ya wenzenu !!kibaya unamuona mwenzio anakata kamba live kwa njaa/kiu sio kwa bullets ya adui Ila njaa,na kiu,hii kitu ni mbaya Sana kwenye medani ya Vita,kwanza mnaosalia mnakosa molale kabisa ya kupigana ,kifo Cha bullets ni kizuri kwa kuwa huwa kinatoa mizuka kwa pot ,Ila njaa ni kifo Cha aibu Sana kwa soldier's.
Putin orders Russian troops not to storm Mariupol's Azovstal steel plant; 'seal the zone' completely
hili ni bogas ,aise sijawahi kuona.
hilo ni kambi kubwa kwelikweli nahisi new front ya warusi itakuwa ni kharkivAisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...
Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...
Asante sana Putin
View attachment 2196553
View attachment 2196552
Panya wanaoweza kuchimba chini kwa chini wakatokea baharini halafu wanasepa wewe unasubiri huku nje mpaka atakaporudi masihihujawahi kuwinda wewe!!panya umembana kakimbilia shimoni ,huna haja ya kuingia ndani,we kaa nje kila akitaka kutoa kichwa anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kichwa ndani,mwishoni atatoa kichwa Tena kwa kukata tamaa ya kuishi na akiwa hoi kwa njaa na kiu,Sasa hapo hupigi bullets ,muache atoke halafu unakwenda kumdaka kwa mikono ,halafu utachagua nn Cha kumfanya !!!! hiyo battlerion iliyo jichimbia mashimoni itaomba poo yenyewe ,wababe wako nje wanapunga upepo,wakimaubiri panya wao ajilete mwenyewe nje !!