Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wadau mkizitizama hizi picha kadhaa hapa chini nahisi linaweza toa sababu za kwanini Russia kajikita huu upande wa Mashariki na kusini mwa Ukraine...

Hii ya kwanza ni Millet (Mtama) Production,

Hii ya pili ni Barley (Shayiri) production Na hii ya tatu ni Wheat (Ngano) production
Kwa hali inavoelekea, Ukraine huenda ikaja kua land locked country 🤗
 
Hamna ugonjwa wowote unless tungewekeana dau. Haya maneno matupu tu boss.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata kama tungewekeana dau bado ungeangukia pua tuu ......labda uniwekee bibie NYAMIZI hapa na nitambeba tyuu mchana kweupee ...........alafu kuna yule mkulima mtaalamu wa kubeba vifaru vya russia kwa trecta naskia vijiji vyao vimesombwa na solders boys wa russia em nipe up date mkuu za hiyo newz

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 

Huku bongo mtapata ya kitimoto tu mkuu,hayo ndio yanapatikana kirahisi ingawa na yenyewe yalianza kupanda Bei kimtindo.
 
Hahaha. Naona umeshika mpini, unanyanyasa tu walio upande wa makali.
 
Ni kweli kwamba hata maeneo hayatarudi Ukraine mkuu?
 
Ushawishi wa Mrusi unapanda Kwa Kasi Sana duniani
 
Nakazia.
Wheat is grown throughout Ukraine, but the southern and eastern oblasts comprise the main production region. Winter barley, which is planted in southern Ukraine and accounts for nearly 40 percent of total barley area, was sown on 1.04 mha compared to 1.13 mha last year
 
Huku bongo mtapata ya kitimoto tu mkuu,hayo ndio yanapatikana kirahisi ingawa na yenyewe yalianza kupanda Bei kimtindo.

Ila kwa kuwa hela zipo huku
Wataleta kutoka kila kona ya dunia
Hawalimi sana ila kitu kipo leo nakoroga ukwaju, kesho naendea maembe Halafu hayalimwi

Sasa hayo mafuta ya nguruwe hayagandi kwenye chakula kikipoa?
Kweli tutasikia mengi [emoji848]
 
Yaani kupitia hii OP hawa RUSSIA wamejipa heshima zaidi
Yaani wajanja wote wanajua ama wamejua kwamba RUSSIA ni DUBWANA fulani hv KUUBWA ambalo NATO na shost zake wooote wanaliogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…