Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ajabu ni kwamba kanisa hilo hilo LA Orthodox ndilo liko Ukraine.

Askari Wa Orthodox Wa Ukraine wanaua Askari Wa Orthodox Wa Urusi.

Askofu Wa Orthodox Urusi anabariki uvamizi Wa Urusi, na askofu Wa Orthodox Wa Ukraine anabariki askari Wa Orthodox Wa Ukraine waue askari Wa Orthodox Wa Urusi.

!!!!!!!!!?????

Does it make any sense?
 
Ukraine now has become a weapon testing ground for US.
 
Bodi yenye Mkuu mstaafu wa M16 haiwezi kukurupuka. Russia wamesitisha kutoa takwimu za uchumi ikiwemo taarifa za kiasi cha uzalishaji mafuta kama walivyokuwa wanafanya kabla ya sanctions.
Shell wamekurupuka lazima itawacost sana hii move
 
Wewe jamaa nyuzi zako nyingi ni za kufananisha fulani na fulani. Kwa nini unapenda mfananisho na kuiga igana!??
Siku moja utaiga kunya kwa tembo.
 

We jamaa US itakuoaa hiyo misaada unapewa bure?? unajua hizo organization za US huku Africa zinakazi gani za siri??

Shida unamahaba sana na US hujui chochote Marekani hatoagi cha bure kama hanufaiki kutoka kwako. Ndo hao wanawasambazia ushoga na nyinyi mnakubali hiyo ni misaada gani?

Wake up kijana mtoto wa kiume kupenda misaada utapakatwa shauri yako
 
Dah, yaani hii ni hatari
 
Kuna Oligarchs wengi sana wa Urusi California wanakula bata hata Putin aliwakasirikia na kuwaonya kwa kutounga mkono uvamizi wake, umejuaje sio mmojawapo wa hao amehusika kuifikisha hiyo unayodai ni Ruby yenu huko Dubai??
mkumbushe kuna ruby ya tanzania inapigwa mnada ikitokea califonia bila kulipiwa kodi
 
Hamna historia ya kupambana ndio maana unafikiri liberty na dignity vinapatikana bwerere tu kwenye sahani mezani.
Poor you.
NATO wamemtia ujinga kaitia hasara nchi yake na kuua raia wake, sifa ya kiongozi ni kulinda raia wake yy aneshindwa, kilichofanyika ni sawa na swala kumkazia Simba.

Sioni kupambana kwake zaidi ya kuitia hasara nchi yake.
 
Uongo mtupu
 
Ipo wazi shell wamekurupuka
Bodi yenye Mkuu mstaafu wa M16 haiwezi kukurupuka. Russia wamesitisha kutoa takwimu za uchumi ikiwemo taarifa za kiasi cha uzalishaji mafuta kama walivyokuwa wanafanya kabla ya sanctions.
 
Hamna historia ya kupambana ndio maana unafikiri liberty na dignity vinapatikana bwerere tu kwenye sahani mezani.
Poor you.
Pia Watanzania tumetawaliwa kimabavu mabavu na chama tawala, concept ya liberty /freedom/democracy /sovereignity bado ngeni kwa watanzania wengi. Usishangae watanzania kushabikia dikteta Putin kuvamia nchi huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…