Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,558
Kuchukua miaka sio ushindi bali Ukraine itazidi kurudishwa saa yake nyuma kuelekea zama za mawe, kuna muda watakosa vibiriti waanze kutumia ulimbombo na ulindi kuwasha moto.Kamuuza Nani?au anampigisha kwata mzee wa Siku tatu Sasa mmeanza Wenyewe kukubali Ni hii Vita itachukua miaka.game tough
Kwa hiyo kumbe mnakubali RUSSIA anapigana na muisrael .....mfaransa na us yaan nato nzimaWe msemakweli mpenzi wa Mungu.
Kama ambayo Vita mlitabiri kuisha lakini mpaka leo mnasubiri ,ndivyo ambavyo mtasubiri Sana huo ulimbombo na ulindi.Kuchukua miaka sio ushindi bali Ukraine itazidi kurudishwa saa yake nyuma kuelekea zama za mawe, kuna muda watakosa vibiriti waanze kutumia ulimbombo na ulindi kuwasha moto.
Mzee wa saa 48 kumaliza vita[emoji16]Kamuuza Nani?au anampigisha kwata mzee wa Siku tatu Sasa mmeanza Wenyewe kukubali Ni hii Vita itachukua miaka.game tough
Nikipita mitandao mingine (kama Twitter) nakuta Ukrainians wanalialia hatari, lakini nikija JF nakuta Ukrainians mna amani na morali kwelikweli. Dada, people are dying in Ukraine!!!Kamuuza Nani?au anampigisha kwata mzee wa Siku tatu Sasa
3rd may ya mwaka Gani mkuu1. Bucha 3rd May
2. Bucha 24th April
Ukraine sio Syria.
View attachment 2199765View attachment 2199766
Na ww mbona unadandia gari kwa mbele?Taja silaha ndogo au bunduki tunazonunua ulaya mzee,maana ww unajifanya mjuaji kumbe ni mweupe kichwani.
Kwa kuanza,tunajua AKA 47 inatumika na wanajeshi wa JWTZ na polisi wa Tanzania,zinatoka Russia.
Silaha inayotumika kwenye gwaride na makomando wanaokimbia mchaka mchaka ni UZI GUN kutoka Israel.
afu anajiona mjuaji, mchambuzi na mjasusi.3rd may ya mwaka Gani mkuu
Ww nipe takwimu sahihi silaha tunanunua wapi?
Usipo nunua silaha Urusi ununue wapi?
Nchi masikini ndio waagizaji wakubwa wa silaha za Urusi maana zina gharama nafuu na ni rahisi kuzitunza na kuziendesha, china tuna nunua lakini ni mara chacha mno maana silaha zao hazina ubora na zinaharibika hovyo hovyo.
Silaha tunazo nunua kwenye nchi za magharibi ni zile ndogondogo ambazo haziitaji matengenezo ya mara kwa mara kama risasi, bunduki lakini silaha kubwa kubwa zina toka Urusi au china na kama kuna zingine za kimagharibi basi ni chache sana.
Hata kwenye sherehe za uhuru ambapo maonesho ya kijeshi huwa yana fanyika vifaru vyote na mifumo ya ulinzi yote , magari yote ni yale yaliyo tengenezwa nchi Urusi.
Silaha za kimagharibi ni gharama sana nchi kama Tz haina uwezo wa kuzinunua au kuzitunza, kenya yenyewe inayo jifanya wakala wa mabeberu E.Afrika bado silaha zake nyingi inanua Urusi.
Ukraine alipaswa anyooshe mikono, kwa ubishi wake atazidi kupigwa na kupigwa zaidi itafikia muda watatumia na manati.Kama ambayo Vita mlitabiri kuisha lakini mpaka leo mnasubiri ,ndivyo ambavyo mtasubiri Sana huo ulimbombo na ulindi.
Typo inafaa kua April, nimerekebisha.3rd may ya mwaka Gani mkuu
Wapi kasema anamaliza 48hrs?Mzee wa saa 48 kumaliza vita[emoji16]View attachment 2199797
Mna hela nyinyi za kununua silaha kutoka Marekani na Uingeleza au upo unajititua hapa kama kawaida yenu kujiona wa kipekee wakati mnakufa na njaa?Unajifanya unajua kumbe hujui lolote. Tanzania soko lake kubwa la silaha ni China. Vifaru karibia vyote mnavyotumia ni vyao mpaka zile amphibious. Ndege vita mnazozitegemea za Chengdu ni zao. Rockets aina ya A-100 ni zao. Transport vehicles za TPLF karibu na zote ni made in China. Attack helicopter hivyo hivyo. Urussi hana mchango wa maana TPLF kama mnavyojidanganya.
Alafu ukija Kenya soko letu kubwa la silaha ni marekani, fleet yote ya ndege- jet fighter, transport helicopter, attack helicopter, drones, reconnaissance planes 90% ni made in USA. Bunduki ni FN scar kutoka Belgium, jeshi letu halitumii tena Kalashnikov ( AK 47). Vifaru ni kutoka Britain.
Alafu cha kusikitisha kuna watu watalike hio post yako.
Taja hayo malengoBut Russia bado hawajafanikisha malengo yao, hicho ndicho Cha muhimu
Maneno yako yanakinzana na msemaji wa jeshi la Urussi amabae amesema wamelipua ndge za Ukraine. Sasa jiulize hizo ndege zimetoka wapi na wanasema wamezisambaratisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa airforce gani iliyokuwepo kwa sasa
Kabisa mkuu hoja zenye uzito hazipo kaabisa now ......ila wamekuja na tanks kulipukaThread imekosa ladha [emoji18]
Watafidiwa na EU kwa haraka sana...Kuchukua miaka sio ushindi bali Ukraine itazidi kurudishwa saa yake nyuma kuelekea zama za mawe, kuna muda watakosa vibiriti waanze kutumia ulimbombo na ulindi kuwasha moto.