Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Kwani wewe ulitakaje? Sometimes you have to argue sensibly...achana na ubishi wa Simba na Yanga kwamba ile ilikuwa ni penalti na mwingine anasema haikuwa penalti...jifunze how to respect other people's opinions and views...[emoji3][emoji3][emoji3] tuko mwezi wa tatu sasa,hizi kauli zilishakuwa ni ngonjera tu
Germany na France wanajitoa NATO au hapana[emoji3]Kula lunch Acha hofu
Mkuu acha uongo Urusi hana shida na EU countries,yeye adui wake wa kudumu ni USA.anacho Fanya USA ni propaganda kuonesha kuwa Urusi ana ugomvi na Nchi hizo ili kuzitumia Nchi hizo kama mwanvuli.Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
Sina ..Asante, je una ramani tofauti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umepatia matatu tu ya Juu mengine umeenda chaka... Ila cheeeeers hayo majina so ya muhim sana [emoji25]Kumekucha wapendwa .
....haya wale ma pro NATO mko mtaa gani ....leo niko full full .....masnonda ...
Tsh....
NYAMIZI
Coco reborn
Mwanamkwiki sijui nimepatia hilo jina
bibie jonnah
naskia MOSCOW imezingirwa ..........[emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu coco rebon wacha kukimbia vita ukae humu tukuoneshe namna warussia huwa hatupendagi ufamba....
Bwana Tsh ...naona unamzodoa bibie NYAMIZIWanajua kutumia media. Media kwao ni weapon.
Siyo mimi ni kuboronga kwa Putin kule Ukraine,unajitahidi sana kucomment kile unachotaka kiwe kwenye akili yako,tatizo uhalisia ndiyo unakataa,uwe na mchana mwema/usiku mwema kama unaishi kwa Beberu Mkuu,maana najua Russia hata hupatamani kuishi[emoji3]Kwani wewe ulitakaje? Sometimes you have to argue sensibly...achana na ubishi wa Simba na Yanga kwamba ile ilikuwa ni penalti na mwingine anasema haikuwa penalti...jifunze how to respect other people's opinions and views...
Kuna hizi sisimizi pro nato hazitakuelewa ...kabisaa ...Ndeefu ila someni tu nyie vichwa ngum wa Pro NYETO... View attachment 2201210"No amount of weapons can give Ukraine victory" - US Army сolonel Macgregor
If one is to believe the current White House propaganda, Ukraine is winning the war. This is simply not so, according to retired US Army Col. Macgregor recent statements in Fox News “Tucker Carlson Tonight”.
The American colonel is considered to be a prominent Army thinker. He is currently a consultant, and received his PhD in international relations from the University of Virginia.
Macgregor argues that Moscow’s main interests and military goals are in the Donbas region and the eastern half of Ukraine. This is what President Putin himself has repeatedly stated. However, the colonel predicts that if detente is not sought, Western Ukraine will become a “firing range”.
Even so, in this case Russia would not actually send troops, but would rather employ artillery attacks, he says. He adds: “The Russians have never been interested in crossing the Dnieper River [the river that splits Kiev]. They were always interested in destroying the Ukrainian forces – that job's about through.”
Once again, denazification and demilitarization have been Moscow’s stated goals from day one - but it is interesting to see a prominent US military expert conceding that.
Col. Macgregor also said: “I really think the president and his supporting advisers believe that somehow or another, they're going to arrive at a negotiating table in the future where they will be able to dictate terms to Moscow. And that's not going to happen.”
In a 12 April conversation with American political analyst and retired judge Andre Napolitano (“Judge Nap”), the colonel made similar remarks about the propaganda war currently being waged.
He stresses Moscow has no interest in launching an offensive against NATO, and he clarifies that the distinction between “offensive” and “defensive” weapons (pertaining to arms sent by Washington to Kiev) is largely a matter of “media terminology” because it all really depends on “the employment of the weapon systems”.
Uriel Araujo... Researcher with a focus on international and ethnic conflicts.
Kwanza tambua hao viongozi huwa hawaendi Ukraine kwa ndege bali huwa wana tumia gari moshi na huwa wanatoa taarifa kwa Urusi ili isije kutokea ajali usidhani huwa wanaenda kienyeji tu.Nikiona jinsi gani marais wa nchi mbalimbali na sasa mawaziri wa Marekani wanaingia na kutoka Ukraine jinsi wanavyotaka, sioni kwamba jeshi la anga la Urusi linathibiti anga la Ukraine.
Nilisita kuamini taarifa kwamba marubani Warusi wanaogopa kuzura juu ya Ukraine kwa sababu bado kuna roketi za SAM ambazo walishindwa kuharibu (maana najua kila upande unasambaza propaganda yake).
Sasa Ujerumani iliamua kuimarisha ulinzi wa anga wa Ukraine kwa kutuma vifaru vyake vya Gepard ambazo zinalenga ndege na roketi.
Kwa hiyo uwezo wa Urusi kuendelea na mashambulio kutoka anga utategemea idadi ya roketi zake zilizobaki...
An illusion...pole Sana Ndugu yanguSiyo mimi ni kuboronga kwa Putin kule Ukraine,unajitahidi sana kucomment kile unachotaka kiwe kwenye akili yako,tatizo uhalisia ndiyo unakataa,uwe na mchana mwema/usiku mwema kama unaishi kwa Beberu Mkuu,maana najua Russia hata hupatamani kuishi[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umepatia matatu tu ya Juu mengine umeenda chaka... Ila cheeeeers hayo majina so ya muhim sana [emoji25]View attachment 2201221
Unajua kama mimi, sivyo? Chanzo kilikuwa tishio la Urusi dhidi Berlin magharibi mwaka 1948.Aise, yaani ww! Naomba utuambie,nan muazilishi wa NATO?
Kabisa, ni kweli. na mimi nisingepanda treni kama kuna hatari ya kushambuliwa maana treni inatembea polepole kwenye njia inayojulikana.Kwanza tambua hao viongozi huwa hawaendi Ukraine kwa ndege bali huwa wana tumia gari moshi na huwa wanatoa taarifa kwa Urusi ili isije kutokea ajali usidhani huwa wanaenda kienyeji tu.
Asante kwa kutuambia imani yako. Ila tukijadili elimu - je una historia tofauti kuhusu nchi za Ulaya Mashariki na Urusi kuliko ile niliyotaja??Mkuu acha uongo Urusi hana shida na EU countries,yeye adui wake wa kudumu ni USA.anacho Fanya USA ni propaganda kuonesha kuwa Urusi ana ugomvi na Nchi hizo ili kuzitumia Nchi hizo kama mwanvuli.
Hivi unashirikisha serikali yako ya ubongo ipasavyo. What is your interest NATO or Ukraine.?.Germany na France wanajitoa NATO au hapana[emoji3]
Jana usiku Russia imekula vichwa zaidi ya 500 vya wanajeshi wa Ukraine...
View attachment 2201200
View attachment 2201195
Baada ya kumalizika kwa vita baridi Urusi ilionesha nia ya dhati kumaliza uadui lakini Marekani na washirika walikataa.Asante, ila naona tofauti ambayo si ndogo.
Kwanza sijapinga upanuzi wa himaya ya Urusi (kuna faida gani kupinga historia??) lakini ninasema: maarifa ya mataifa ya Ulaya na Urusi inatosha kuona kwamba wanaona Urusi kama tishio, na wana sababu nzuri.
Pili nilidokeza hali halisi kwamba Urusi ilipanusha himaya yake kwa njia ya vita na uvamizi wa kijeshi.
Tatu ninaona upanuzi wa NATO haikutokea kwa njia ya uvamizi wala vita bali kwa njia ya maazimio ya nchi zilizopata uhuru zikaamua vile kwa hiari yao.
Je unakubali nchi ina haki ya kuamua ushirikiano wake ya wengine au la? Je DRC ilikuwa na haki kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki? Je Sudan Kusini ilikuwa na haki hiyo??
Mataifa ya Ulaya pamoja Urusi yalikubaliana mwaka 1975 kila nchi ina haki kuchagua siasa yake. (Helsinki Accords)
Nikiona jinsi gani marais wa nchi mbalimbali na sasa mawaziri wa Marekani wanaingia na kutoka Ukraine jinsi wanavyotaka, sioni kwamba jeshi la anga la Urusi linathibiti anga la Ukraine.
Nilisita kuamini taarifa kwamba marubani Warusi wanaogopa kuzura juu ya Ukraine kwa sababu bado kuna roketi za SAM ambazo walishindwa kuharibu (maana najua kila upande unasambaza propaganda yake).
Sasa Ujerumani iliamua kuimarisha ulinzi wa anga wa Ukraine kwa kutuma vifaru vyake vya Gepard ambazo zinalenga ndege na roketi.
Kwa hiyo uwezo wa Urusi kuendelea na mashambulio kutoka anga utategemea idadi ya roketi zake zilizobaki...