Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Ingawa mimi siyo mshabiki humu wa haya mambo yenu lakini ukweli ni kwamba Urusi walifanya calculation mbovu sana kwenye hii vita.Russia walikosea sana walivyoondoka kiev
"...huyu jamaa bado ana akili ya kijamaa..." naona wanamshika sharubu jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamuache huyu Putin wasimshike shike Sharubu, Ukraine waendelee kujihami...Kumshambulia kwenye ardhi yake ni kumprovoke na retaliation inaweza kuwa na impact mbaya, Huyu jamaa bado ana akili ya kijamaa.
Ndio vita muraaaUrusi hawajaacha ile tabia ya kutembea kama msafara wa arusi ,shambulio la Jana limewakost sana.
According to the group's commanders, Ukraine on Tuesday destroyed:
Ila hii vita by next week ,itakua mbaya sana ,tuombe kuwepo na makubaliano tuu ya amani,
- 9 tanks
- 11 artillery systems
- 4 units of special equipment
- 14 units of armoured vehicles
- 3 combat armoured vehicles
- 3 units of special engineering equipment
- 16 cars
- 4 fuel tanks
- one anti-aircraft gun
Atajua hajui kutwa kutuonesha mavivaa ya ajabu ajabu kumbe hayafanyi kaziHayo mashambulizi yamepenya s300 na s400 defence system? Mbona moscow inaweza ikawa uchi sasa.
Mchanganuo wenu wakuu [emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 2201869ni kweli au mnasemaje
Hii vita ya ajabu sana yaani adui yako anakutegemea kwa kitu fulani ha haa.Kwakweli maamuz haya yalichelewa Sana,
Hawa wapumbavu ndo wamekua daraja la wamagharibi wote kuisaidia Ukraine
Kama wao walivomuwekea sanctions,
Na yeye kawawekea sanctions za ghafla gafla[emoji4]
Ulitaka wafe? Kule Maji mazito ilikuwa... kwanza nbali... wanajeshi walikosa misaada hadi wengine wakaacha kupigana maana risasi walibakiza za kujihami tu waliogopa na pia walikuwa wanavamiwa kwa kustukizwa... wakatawanyika so kila kundi changanyikiwa hawakuelewana na kila masasiliano waliyokuwa wakifanya yalinaswa yote... wakaona washaloose bora wasepe wajiunge kimakundi upya.Russia walikosea sana walivyoondoka kiev
Yehoyadaya,wewe hiyo title ya thread umeipata wapi,Mimi nimeandika,Wayahudi husaidiana
Wanaenda kumsaidia myahudi mwenzao Zelensnkyy na wayahudi wa Ukraine wanaouawa na Putin.
Swali lilikuwa ni JewsLete hiyo taarifa mkuu basi kama unayo,mimi sijaisikia.
Mkuu Ukraine wapo Warusi takribani millioni 12.Ninachojua ni kwamba wapo ambao kweli wameondoka,lakini si wote.Nikutaarifu tu kwamba mauaji ya Warusi ilianza hata kabla hii operation maalum ya ku-denazify Ukraine haijaanza.
Sasa mimi sikuongelea Jews mkuu mbona?Swali lilikuwa ni Jews
Mada closedSasa mimi sikuongelea Jews mkuu mbona?
Mzalau mwiba guu huota tende! kama mrusi anaweza afanye kama Nabii Daudi![emoji3][emoji3]K
Kaenda kuhesabu au amekusia tu
Hawa washenzi ndo wanaprolong hii vitaPolish wanyimwe kabisa milele
Sio Lengo la operationHivi bado tu hamjamuondoa komediani?
Walimlea Sana uyu fallerHii vita ya ajabu sana yaani adui yako anakutegemea kwa kitu fulani ha haa.