LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Na huko Khakhiv kala kichapo hatari,Mji upo under Ukraine control
Teh teh mi naombea apoteze kabisa Jf itulie.
kuna memba Jf wamekariri link za silaha za Urusi hadi kero.
ukimbishia kidogo atakuletea link kibao za silaha za Urusi na kukutajia majina mengine majina diyo unayasikia toka tuzaliwe.
utasikia Urusi ana milki highpersonic sijui nini vile ilimradi akuvuge akili ili ashinde Argument 😂😂😂
 
Vishaanza kuumana
 
Cardless ilisemwa vikwazo vingekuwepo tu hawakuwa na namna na wamevizoea na watadeal navyo baada ya vita.
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
 
Reactions: Tsh
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
Kwa hiyo kwa kuwa NATO walileta machafuko sehemu mbalimbali maana yake na Rusia ni halali kwake kuleta machafuko sio ?

Watu wanaosema wanamchukia rusia wanamchukia kwa sababu ya hii ishu yake na ukraine tu na sio ishu yake ukilinganisha na mataifa mengine.

Sasa sijui mnakwama wapi wakuu
 
⚡️Telegram Chief warns channels in Russia & Ukraine may face a temporary ban during conflict

Pavel Durov explained that some channels are spreading "unverified information" - adding he doesn't want Telegram to be used as a tool of war or to incite hatred.
 
Kwani Russia kapeleka robots Ukraine?
 
Kama yupo serious wamfunge tu kamba wapeleke Mirembe ya huko!
 
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
Anazungumza lakini huko. Wakiafikiana inabidi aondoke. Tegemea lolote.
 
Amka acha ndoto za mchana
 
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…